Magazeti makubwa ya mitindo kama Vogue,ELLE na Vanity Fair yametoa muonekano wa Kurasa zao za mbele za magazeti yao. Wasanii maarufu kama Katy Perry, Beyonce, Emma Watson, ana wengine wengi wamepamba jarada za magahazeti hayo! Mwezi wa tisa ni mwezi mzuri katika mwaka hasa katika ulimwengu wa Mitindo.
Vogue – Beyonce
Self -Kerry Washington
ELLE UK – Kristen Stewart
Essence – Misty Copeland
Vanity Fair – Taylor Swift
ELLE – Keira Knightley
Harper’s Bazaar – Katy Perry
W magazine – Gigi Hadid
Vogue UK – Emma Watson
Paper-Jenifer Lopez
Related posts
6 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/nini-kimejiri-katika-nyuso-za-majarida-ya-mitindo/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/nini-kimejiri-katika-nyuso-za-majarida-ya-mitindo/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/nini-kimejiri-katika-nyuso-za-majarida-ya-mitindo/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/nini-kimejiri-katika-nyuso-za-majarida-ya-mitindo/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/nini-kimejiri-katika-nyuso-za-majarida-ya-mitindo/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/nini-kimejiri-katika-nyuso-za-majarida-ya-mitindo/ […]