SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Nini Tunategemea Kuona Katika Stara Fashion Show 2018
Mitindo

Nini Tunategemea Kuona Katika Stara Fashion Show 2018 

Stara Fashion Show ni fashion show ambayo uhusika na ku-show case mavazi ya wabunifu mbalimbali ambao hubuni mavazi ya ki-islam yaani stara. Hafla hii hufanyika mara moja kwa mwaka na mara nyingi hufanyika week chache kabla ya mwezi mtukufu wa Ramadhani. Na mwaka huu Stara itaonyesha mavazi siku mbili ambapo ya kwanza ni mavazi ya kike na ya pili ni ya kiume.

Ambapo kutakuwa na zaidi ya Wabunifu 20 kutoka kila pembe ya Tanzania ,kama vile ZANZIBAR , ARUSHA, MWANZA, TANGA watakuja pamoja kuonyesha Ubunifu wao katika jukwaa la Stara Fashiion Week.

Sisi kwetu tunategemea kuona vitu vipya, tunategemea kuona mitindo ambayo ni advanced, kama ambavyo tunaona wabunifu wakubwa wengi wameingia katika sekta ya kubuni muslim cloth lakini pia ma models wameanza kuruhusiwa kuvaa hijab’s katika run ways

Tunadhani kwa sasa modest fashion inashika sana Duniani, tungependa kuona vitu vya tofauti ukiachana na mabaibui na madera, tungependa kuona vitu vingine vya tofauti ambavyo tunaweza kuvaa na bado tukawa tumejistiri.

Tungependa kuona mavzazi ya aina tofauti kama coorparate, casual, date night etc mtu anawezaje kuvaa akiwa kwenye event tofauti, kama ambavyo tunajua makazini wengi tunavaa ma baibui au skirt ndefu na mashati, tungependa kuona wabunifu wakituonyesha namna gani unaweza kuvaa sehemu mbalimbali na nyakati mbalimbali.

Tukiachana na mavazi tungependa kujifunza pia aina nyingine za kufunga hijab’s, kuna mitindo tofauti tofauti ya kufunga hijab’s tungependa kuona kitu cha tofauti kwenye run way hii.

Tungependa kujifunza hada na kutokana na kwamba katika sekta ya Islamic fashion ndio kwanza inaanza kuwa noticed na watu wangependa kujua wapi unavuka mipaka na wapi uko sawa.

Kama ungependa kuhudhuria inafanyika

LINI:
5May : Mavazi ya Kike
6May : Mavazi ya kiume
Muda : Saa 1 – Saa 3 usiku
Kiingilio:
Kawaida – Elfu 20
VIP – Elfu 40 ***Matukio (EVENTS) yote yanafanyika katika ukumbi wa City Garden Restaurant, Kamata.
WOTE MNAKARIBISHWA

 

Related posts

2 Comments

  1. buy cambodian shroom online Denver

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/nini-tunategemea-kuona-katika-stara-fashion-show-2018/ […]

  2. buy pills online

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/nini-tunategemea-kuona-katika-stara-fashion-show-2018/ […]

Comments are closed.