SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

NINI UFANYE UKIENDA KWENYE MANUNUZI
Dondoo

NINI UFANYE UKIENDA KWENYE MANUNUZI 

Mara nyingi ime tokea tukienda kufanya manunuzi (shopping) tunarudi na vitu tusivyo vitaka na kujutia au hata kutumia fedha nyingi kuliko tulivyo tegemea. Hii inatokana na kwamba tukiwa tunaenda shopping hatupangi ni kipi tunacho kifuata huko,hizi ni dondoo chache za vipi ufanye manunuzi yako sahihi

Andika vitu unavyo vihitaji:

Shopping-List

Hii itasaidia kujua nini una kitaka na kufuatilia mahitaji yako, kuliko kuto kufanya hivyo utachukua chochote ambacho unakiona mbele yako hata kama hakina faida kwako.

Panga bajeti yako:

144171643

Weka kiasi timilifu ambacho unachukua kwenda kufanya manunuzi na hakikisha una beba hikohiko kiasi ili kuepuka kutumia kiasi kikubwa zaidi ya ulicho nacho.

panga muda wa kufanya manunuzi yako:

deadline

weka muda fulani hadi muda fulani niwe nime kamilizha mizunguko ya manunuzi yangu, hii itasaidia kuto kupoteza muda mwingi kuangalia vitu usivyo vihitaji  na kuangalia zaidi kwa unavyo vihitaji.

fanya manunuzi ukiwa peke yako:

shopping_1369045749_540x540

fanya manunuzi ukiwa peke yako hili kuepuka kutamanishwa na kupewa hamasa ya kununua vitu usivyo vihitaji.

kumbuka muuzaji yupo pale kuuza

mara nyingi watu hununua vitu kwa sababu ya maneno mazuri ya muuzaji na husahau kwamba muuzaji yupo pale kwa ajili ya kuuza biashara yake na si vinginevyo ata kwambia kitu kizuri hata kama si kizuri, jaribu kufuata msimamo wako na kuangalia kama kweli hiki kitu kina kufaa.

Usinunue kwa sababu tu kipo kwenye sale

14562984-Sale-smiley-Stock-Photo-smiley-face

usinunue kitu kwa sababu kinauzwa bei rahisi kwa wakati huo, nunua kwa sababu una kihitaji na utatumia kwa muda mrefu.

 

 

 

Related posts

4 Comments

  1. download tiktok videos

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/nini-ufanye-ukienda-kwenye-manunuzi/ […]

  2. her latest blog

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/nini-ufanye-ukienda-kwenye-manunuzi/ […]

  3. remington firearms

    … [Trackback]

    […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/nini-ufanye-ukienda-kwenye-manunuzi/ […]

  4. wild mushrooms for sale near me

    … [Trackback]

    […] Here you will find 43994 additional Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/nini-ufanye-ukienda-kwenye-manunuzi/ […]

Leave a Reply