Nyamachoma

Nyamachoma Festival ni moja kati ya sherehe zilizojizolea umaarufu mkubwa jijini Dar es salaam. Sherehe hizi uhudhuriwa na vijana wengi, ambao wanakwenda kula nyama na kufurahi pamoja na wenzao. Ikiwa imebaki siku moja tu Kufikia Sherehe hizo, ambapo kesho zinatarajiwa kufanyika, najua wengi wetu hususani wadada tunajiuliza nini cha kuvaa, ukizingatia na mazingira ya sherehe zenyewe. Leo tumekuletea dondoo za nini uvae na nini usive kukutoa katika kigugumizi hiko.

 

Dondoo nini usivae

Usivae viatu virefu

Vaa urembo wa kawaida

Usipake marashi ya kunikia sana

Usipake vipodozi vingi.

Vaa miwani

Usivae t-shirt zenye ujumbe Mbaya

Dondoo nini uvae

Vaa nguo zitakazo kufanya uwe huru kutembea

Vaa viatu vyenye kisigino kifupi

87

 

106 1110 120 155 145 315 Screen-shot-2012-06-19-at-10.32.34-AM