SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

NISHA NA MPANGO WA KUFUNGUA KAMPUNI YA MAVAZI
Habari

NISHA NA MPANGO WA KUFUNGUA KAMPUNI YA MAVAZI 

Msanii wa filamu nchini Tanzania, Salma Jabu ‘Nisha’, amesema kuwa licha ya kuwa vizuri katika tasnia ya filamu na uchekeshaji anampango wa kufungua kampuni yake ya mavazi ambayo itakuwa inawavalishsa mastaa mbalimbali. Nisha  kwa sasa ana milikini online business shop ambayo inahusiana na mavazi hasa ya kina mama

nisha2

Msanii huyo amedai kuwa ili kudhihirisha kuwa yupo makini na kazi yake ameanza rasmi kumvalisha model Hamisa Mobeto, ili kuonesha uwezo wake katika fani hiyo.

Amedai kuwa mitindo ni kitu ambacho alikuwa akikipenda tangu akiwa mdogo yaani kabla hata hajafirikia kuwa msanii na ndio maana ameamua kuuthihirishia ulimwengu kuwa kazi hiyo pia anaweza kuimudu vema.

nisha

Amesema kuwa ameanza kumvalisha Hamisa Mobeto, lakini lengo lake ni kuja kuwa na kampuni inayohusu ubunifu hasa vitu vya asili ili kuweza kujitangaza na kuitangaza nchi ya Tanzania.

Ameongeza kuwa ameamua kujikita kwenye mitindo, nguo za kike, nywele pamoja na vitu mbalimbali vya urembo.

Related posts

5 Comments

  1. แทงบอล ufabet

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/nisha-na-mpango-wa-kufungua-kampuni-ya-mavazi/ […]

  2. browse around here

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/nisha-na-mpango-wa-kufungua-kampuni-ya-mavazi/ […]

  3. บาคารา

    … [Trackback]

    […] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/nisha-na-mpango-wa-kufungua-kampuni-ya-mavazi/ […]

  4. have a peek at this site

    … [Trackback]

    […] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/nisha-na-mpango-wa-kufungua-kampuni-ya-mavazi/ […]

  5. official source

    … [Trackback]

    […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/nisha-na-mpango-wa-kufungua-kampuni-ya-mavazi/ […]

Leave a Reply