SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

NJIA 7 ZA KUKUTOA KATIKA MITOKO YA AINA MOJA
Dondoo

NJIA 7 ZA KUKUTOA KATIKA MITOKO YA AINA MOJA 

Kuna kipindi kila ukiliangalia kabati lako una hisi hii nilisha vaa au kwanini kila siku naonekana yule yule hubadiliki, kuna sababu za wewe kuwa hivyo ina wezekana upo attached sana na baadhi ya rangi au kuna nguo zina kufanya ujihisi upo comfortable labda kwa sababu ya rangi au ndio unazo zipenda lakini hii inakufanya uwe stucked sehemu moja yaani hata ndugu zako wanajua kama hujavaa na jeans basi utakuja na kigauni hatukatai mtu kuwa na signature style lakini una takiwa kubadilika from time to time una weza kuwa signature look yako lakini ukaongezea baadhi ya vitu kuondohsa dhana ya kuonekana yule yule kila siku.

Kabati Lako Limejaa nguo za rangi aina fulani,

Kuna watu ambao wana mapenzi na baadhi ya rangi labda brown, nyeupe,nyeusi, blue etc basi zile nguo zitajaa kwenye kabati mpaka mtu ana sahau rangi nyingine, ILI KUBADILISHA HILI TATIZO

unatakiwa ku balance mapenzi yako na cheza na rangi toka nje ya comfort zone yako, una weza uka chagua nguo chache ambazo zita bring life katika mitoko yako

Hauna nguo za prints, Kuvaa plain plain clothes can be fun kwa kweli maana una weza kuvaa mara nyingi uwezavyo ila pia ina weza kuwa boring at time kwa kujua ilo unacho takiwa kufanya ni kuongeza bold prints katika kabati lako,

shirt za maua maua, magauni, skirt za mistari au maua zina weza kubadilisha muonekano wako kutoka F to A

Viatu, Kuna viatu ambavyo tuna tend kuwa comfortble navyo basi utakuta hio hio pear ina valiwa kila mahali, kazini, casual, mitoko ya dinner yaani kila pahali mpaka watu wana kuzoea (kama Ally Rehmtullah )

nunua viatu na invest in good statement shoes hii itakusaidia sana kubadilisha au ku spice up mtoko wako kila unapo ona umevaa boring cloth add a a statement shoe

Una accessory zile zile kwa miaka yote, Kuna wale watu ambao hawapo kabisa into accessories (sisi ni wa moja wapo) lakini accessory zina saidia sana kuinua muonekano zina weza kubadilisha a basic outfit to baddie real quick, iwe statement hereni, mkufu, saa, bangili etc just accessorize

Fanyia marekebisho mavazi yako, a pair of plain jeans or t shirt is boring fanya DYI’s distress jeans yako ongezea vitu viwli vitatu katika t shirt yako kama ni manen, maua etc

ni mategemeo yetu ume jifunza kitu until next time tchao

 

 

 

 

Related posts

2 Comments

  1. visiter le site Web

    … [Trackback]

    […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/njia-7-za-kukutoa-katika-mitoko-ya-aina-moja/ […]

  2. south african transkei cubensis

    … [Trackback]

    […] Here you will find 34477 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/njia-7-za-kukutoa-katika-mitoko-ya-aina-moja/ […]

Leave a Reply