SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Njia Za Kuboresha Muonekano Wako
AfroTipAndTricks

Njia Za Kuboresha Muonekano Wako 

Wakati mwingine unataka kuvaa simple, hutaki kuwa na na vitu vingi mwilini. Lakini hii haimaaniishi uvae boring outfit, kuna vitu vichache ambavyo unaweza kuongezea ili upate muonekano simple lakini ulio stylish.

Mfano mzuri ni kama Mboni Masimba hapa akiwa amevalia kijora ambacho tunaamini 85% ya wanawake Tanzania wanavyo, katika % hizo ni wachache sana ambao wanakiboresha kikaonekana classic wakati % zilizonaki wanakivaa tu ili mradi wamejistiri maungo

 • Statement accessories ni njia nzuri ya kuboresha muonekano wako unaweza kuvaa hereni, pete, mkufu ambao una catch attention, hakikisha accessories hizi zinaendana na outfit yako.
 • Perfect bag na classy shoes, hivi vinaenda bega kwa bega. Viatu na mkoba vinaweza kutoa muonekano wako kutoka 0 kwenda 100 lakini pia rangi ziwe zinaendana na mavazi yako.
 • Kunogesha muonekano, Ongezea saa, kikuku, bangili etc hivi ni vichachandu / vinogesho katika mavazi yako.
 • Kama unataka ku-make a statement look unaweza kuongezea kofia au hata miwani ili kuupa statement muonekano wako.

Kumbuka: namna ambavyo outift iko basic ndivyo ambavyo uko huru kutumia bold accessories, kama unapenda simple looks basi vyema ukatumia accessories zaidi.

Hivi ndizo njia sisi huwa tunatumia Je wewe unatumia njia zipi? tuachie comment yako katika box la comment hapo chini.

Related posts

5 Comments

 1. Best magic mushroom shop Victoria

  … [Trackback]

  […] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/njia-za-kuboresha-muonekano-wako/ […]

 2. find this

  … [Trackback]

  […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/njia-za-kuboresha-muonekano-wako/ […]

 3. 코인선물

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/njia-za-kuboresha-muonekano-wako/ […]

 4. 토렌트

  … [Trackback]

  […] Here you can find 96736 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/njia-za-kuboresha-muonekano-wako/ […]

 5. แทงหวยออนไลน์

  … [Trackback]

  […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/njia-za-kuboresha-muonekano-wako/ […]

Comments are closed.