SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Njia Za Kujali Handbag Yako Idumu Muda Mrefu
Mitindo

Njia Za Kujali Handbag Yako Idumu Muda Mrefu 

Kama ambavyo unaweka cover na protector katika simu yako ili isiharibike na iweze kudumu kwa muda mrefu, na kama ambavyo unatunza vitu vingine kama mavazi, viatu na jewelries basi vivyo hivyo na handbag zinatakiwa kujaliwa. Wengi huwa tunajisahau katika kujali handbag zetu.

Leo tunakupa Tips chache ambazo zinaweka kukusaidia katika kujali handbag yako

  • Weka vitu katika handbag yako ili kuweza ku-maintain shape yake

Ukinunua handbag ndani yake unakuta mifuko ambayo hutumika ku-maintain shape yake lakini sisi huwa tunitoa na kutupa tukidhani tu imewekwa kwa ajili ya upya, No! ile mifuko kazi yake ni ku-maintain shape ya handbag isilepete hivyo unaweza kuitoa wakati wa kuitumia na kuirudisha ukimaliza kazi zako, unaweza kuweka tissue au magazeti chochote ila tu kiwe laini kisichubue mfuko.

  • Usihifadhi Bag Yako Ndani Ya Plastic Au Vinyl

Plastic au Vinyl havipitishi hewa, na huwa zinamtindo wa kusababisha majimaji endapo kutakuwa na joto kali, kama ikitoke imesababisha majimaji yanaweza kuharibu quality ya handbag yako, tunakushauri kutumia cotton bags kuhifadhia handbag zako.

  • Tumia Clutch Kuhifadhia Vipodozi Vya Maji Maji

The last thing unataka ni kuingiza mkono kwenye handbag yako na ukakuta imelowana na hand lotion au foundation imemwgikia, hakikisha vitu vyote vyenye majimaji unaviweka katika clutch hii tu haitosaidia kutokuchafua pochi lako kwa ndani bali pia kupata vitu vyako kwa urahisi.

  • Usiweke Handbag Yako Chini

Ni nyema ukaning’iniza handbag zako sehemu, kama kwenye shelf au hata ununue handle ya kuning’inizia handbag, unapoziweka chini sio tu zinachubuka ngozi lakini pia zinaweza kubeba bakteria.

  • Badilisha Handbag Mara Kwa Mara

Njia bora ya kufanya mikoba wako kuoonekana mpya ni kubadilisha mikoba mara kwa mara! Unapotumia begi moja kilasiku linachoka mapema zaidi hakikisha una pair kadhaa za mikoba ambapo utaweza kubadilisha kubeba mara kwa mara.



																			

Related posts

6 Comments

  1. Buy Changa DMT online Australia

    … [Trackback]

    […] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/njia-za-kujali-handbag-yako-idumu-muda-mrefu/ […]

  2. Microdose mushroom chocolate bars

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/njia-za-kujali-handbag-yako-idumu-muda-mrefu/ […]

  3. Fysio Dinxperlo

    … [Trackback]

    […] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/njia-za-kujali-handbag-yako-idumu-muda-mrefu/ […]

  4. 토렌트 사이트

    … [Trackback]

    […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/njia-za-kujali-handbag-yako-idumu-muda-mrefu/ […]

  5. check my reference

    … [Trackback]

    […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/njia-za-kujali-handbag-yako-idumu-muda-mrefu/ […]

  6. คาสิโนออนไลน์ lsm99

    … [Trackback]

    […] Here you will find 79882 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/njia-za-kujali-handbag-yako-idumu-muda-mrefu/ […]

Comments are closed.