SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

“Nobody touches this body” – Martin Kadinda
Mitindo

“Nobody touches this body” – Martin Kadinda 

“Nobody touches this body” lilikuwa jibu la Martin Kadinda, alipoulizwa na mtanganzaji wa Wasafi Tv Liyah kwenye Red carpet ya arobaini ya King Salah. Liyah alimuuliza Martin kuhusu muonekano wake wa siku ile ulibuniwa na kupangiliwa na nani?

Hatutaki kuzungumzia kuhusu muonekano  wake, tumepokea maoni mengi kuhusu mbunifu huyo na vazi lake. Asilimia kubwa ya watu wameoneshwa kutoridhidhwa na vazi lake ambalo alijigamba kulibuni mwenyewe.

Tudhani Martin tayari amejitwalia heshima kubwa katika tasnia ya ubunifu wa mavazi. Lakini kusema kwamba haruhusu mtu mwingine kumsaidia katika mavazi ni uzwazwa. Hatuna shaka na uwezo wake, lakini ni vema akatoa nafasi kwa watu wengine wamsaidie nyakati nyingine, na sio tu katika kubuni vazi lakini pia ni vema kushirikisha Stylist. Kwa muonekano wake wa juzi ametusaidia kuuthibitisha msemo wa kuwa MGANGA HAJIGANGI.

Hivi alivyovaa Martin katika arobaini ya King Salah. Je, amejitendea haki au anahitaji msaada?

Related posts

5 Comments

  1. Best DMT shop New South Wales

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/nobody-touches-this-body-martin-kadinda/ […]

  2. window installer

    … [Trackback]

    […] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/nobody-touches-this-body-martin-kadinda/ […]

  3. 다시보기

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/nobody-touches-this-body-martin-kadinda/ […]

  4. 코인커뮤니티

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/nobody-touches-this-body-martin-kadinda/ […]

  5. ufabtb

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/nobody-touches-this-body-martin-kadinda/ […]

Comments are closed.