SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Noel Ndale Aandamwa Kwa Kuvaa Kivazi Aina Ya Crop Top
Mitindo

Noel Ndale Aandamwa Kwa Kuvaa Kivazi Aina Ya Crop Top 

Crop tops are making their way back, ikiwa watu wengi kwasasa wanafanya mazoezi na kuwa na flat tummy’s tumeona wanapenda kuonyesha matumbo yao kwa kuvaa na crop tops. Tumewaona watu maarufu kama Noel Ndale, Ally Rehmtullah, Lady Jay Dee, Sishkiki na Aunty Ezekiel wakiwa wamevalia vazi hilo.

Tofauti na wengine Noel alionekana kupata backlash wengi walionekana kusema vazi hili ni la kike lakini wamesahau kwasasa Dunia haioni gender na badala yake unaweza kuwa vile unavyo taka na upendavyo ikiwa inasemakana mavazi hayakufanyi kuwa mwanamke au mwanaume.

Lakini pia Noel sio mwanaume wakwanza kuvaa crop top miaka ya 80-90 wanaume wengi hasa waigizaji walionekana kuvalia vazi hili akiwepo muigiza mkubwa Will Smith, lakini pia miaka michache nyuma tulimuona mwanamziki Young Killer Msodoki na Burna Boy wakiwa wamevalia vazi hili la crop top.

Na upande mwingine mbunifu Ally Rehmtullah nae alionekana akiwa amevalia vazi hilo,

lets say crop top zinarudi kwa kasi na hazina size wala jinsia, if you like it wear it.

Related posts