Ni jumapili nyingine wakati mzuri wa kwenda kumuabudu Mungu kwa yote aliyokutendea katika week nzima, well kama ilivyo kawaida tunakuletea mitoko ya kuvaa kanisani ni chaguo lako unaloweza uchagua uvae vipi sisi tunakupa ideas tu za mavazi ambayo unaweza kuvaa
Floral pencil skirt na top, pencil skirt inaweza kuwa styled nje ya kazini. Unaweza ku styke katika mitoko yako ya kawaida na hata kanisani, chagua top ambayo haipo formal maana ukivaa formal sana utaonekana unaenda kazini.
Mid lenght skater dress kama ambavyo tulisema kipindi cha nyuma, inabidi uvae ndefu za heshima. Tafuta gauni ambayo imevuka magoti na accessories kuendana na rangi za nguo yako.
Wide legs pants na top, well kwa sababu kuvaa nguo za kubana si mahala pake unaweza kutafuta wide leg pants zilizo stylish ukavaa ma top, kumbuka rule ya kuvaa nguo pata ni moja wapo inapaswa kuwa nyembamba/ndogo kama umevaa suruali pana top ibane kidogo kama top pana basi cha chini kibane hii inakufanya uwe balanced na sio kuonekana nguo zimekuvaa.
Ni matumaini yetu tumekusaidia kujua nini uvae, click hapa kuona church outfit ideas za week iliyopita
Related posts
7 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/nogesha-muonekano-wako-wa-kanisani/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/nogesha-muonekano-wako-wa-kanisani/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/nogesha-muonekano-wako-wa-kanisani/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/nogesha-muonekano-wako-wa-kanisani/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/nogesha-muonekano-wako-wa-kanisani/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/nogesha-muonekano-wako-wa-kanisani/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 29501 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/nogesha-muonekano-wako-wa-kanisani/ […]