SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Nuh Mziwanda Serving In Customized Hoop Earrings
Mitindo

Nuh Mziwanda Serving In Customized Hoop Earrings 

Unadhani umeyaona yote? basi tukwambie tu Dunia bado haijamalizana na wewe mpaka pale yenyewe itakapo malizana nawe, tumezoea kuona hizi hereni kwa wasanii maarufu wakike kama Zuchu, Jennifer Lopez, Nicki Minaj na wengine wengi, hereni hizi ni za duara kubwa na katikati huwa zinaandikwa chochote utakachopenda ziandikwe kama jila lako,A.K.A yako, jina la mwanao, mpenzio etc.

Well tumemuona mwanamuziki Nuh Mziwanda akiwa amevalia hereni hizi na katikati zikiwa zimeandikwa Lola Mziwanda, .

Lola ni mpenzi wa Nuh kwasasa inawezekana alitengeneza hereni hizi kuzivaa mwenyewe lakini Nuh akavutiwa nazo na yeye kuzivaa kwenye photoshoot yake akiwa anakaribia kuzindua Ep yake, Nuh hakuishia hapo alivalia nose ring pia.

Tuambie Je umependa muonekano huu mpya wa Nuh?

Related posts

3 Comments

 1. roof skylight

  … [Trackback]

  […] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/nuh-mziwanda-serving-in-customized-hoop-earrings/ […]

 2. home

  … [Trackback]

  […] There you can find 36370 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/nuh-mziwanda-serving-in-customized-hoop-earrings/ […]

 3. brainsclub

  … [Trackback]

  […] Here you will find 48940 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/nuh-mziwanda-serving-in-customized-hoop-earrings/ […]

Comments are closed.