SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Office Style Sins You Should Never Commit
Mitindo

Office Style Sins You Should Never Commit 

Wakati wa kuchagua mavazi ya ofisini kwa wanaume huwa ni rahisi, kwa sababu wanachi jua wao ni kwamba hutakiwi kuvaa kaptura ofisini kichwani mwao huwa wanawaza proper office shoes,suruali shirt za ofisini na jinsi ya ku-accessorize lakini kumbe kuna dhambi mbalimbali ndogo ndogo wanazo zisahau na zipo very annoying hasa pale unapo onekana umefanya kila kitu sawa na kusahau kitu kidogo mno

Kuvaa Mashati Makubwa 

Sharti la kwanza katika mitindo ni kuvaa mavazi yanayo kutosha, over size clothes zimeshapitwa na wakati unless you have Rihanna’s blood ndio unaweza kuvaa oversize na ukaonekana umependeza, Tumesema mavazi yanayo kutosha, shati lako au vazi lako halitakiwi kuwa kubwa sana au kukubana sana. Wengi wanafanya mazoezi siku hizi wanapenda kuonyesha miili  yao basi wanavaa mashati ya kuwabana well its annoying pia hatupo katika mashindano ya Mr. Tanzania tupo kazini, vaa well fitted cloth.

Kuvaa Viatu Vya Pembe Nne

Tulisha ongelea kuhusu viatu ambavyo wanaume wanavivaa na vimesha pitwa na wakati “four angle shoes” zilikuwepo pia, these shoe’s sio tu zipo old fashioned lakini pia hazipendezi hata ukizivaa corporate zina haribu tu muonekano wako, zili trend miaka ya 90 na tunaomba zibaki huko huko please don’t ruin your corporate appearance kwa kuvaa viatu hivi.

Kuvaa Socks Nyeupe

Socks nyeupe zilikua zinapendeza kuvaa secondary na shule za msingi lakini kazini nope don’t zinaonekana too childish jaribu kutafuta socks za rangi nyingine hasa colorful ones, socks ni moja ya accessory inayo dharaulika lakini pale inapo valiwa vizuri basi hufanya muonekano wako upop effortlessly.

Kubeba Bag Pack Wakati Umevaa Corporate 

Haijalishi umebeba laptop au vitu vyako muhimu katika bag pack lakini kulibeba wakati umevaa mavazi ya ofisi haileti picha nzuri kabisa, tafuta briefcase bags ilimuonekano wako uonekane more proper & polished.

Over stuffed Wallet 

Wanaume huwa hawajui nini waweke kwenye wallet wanaweka kila kitu humo ambacho wanaona kina weza kuingia, Wallet inapaswa kuwa na vitu vya maana kama card za bank, business cards, pesa na vitambulisho basi. Efd receipt za mafuta na vingine ni vyema kuvitafutia zip moja ndogo katika bag lako la ofisini ukaviweka, kubeba over stuffed wallet ina haribu muonekano mzima wa suruali yako unaonekana umetuna tuna na hii ni moja ya dhambi ambayo hutakiwi kuifanya.

 

Related posts

5 Comments

 1. download ig video

  … [Trackback]

  […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/office-style-sins-you-should-never-commit/ […]

 2. 티비위키

  … [Trackback]

  […] Here you will find 85321 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/office-style-sins-you-should-never-commit/ […]

 3. psilocybin mushrooms for sale colorado​

  … [Trackback]

  […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/office-style-sins-you-should-never-commit/ […]

 4. psychedelics chocolate bar

  … [Trackback]

  […] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/office-style-sins-you-should-never-commit/ […]

 5. Best universities in Africa

  … [Trackback]

  […] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/office-style-sins-you-should-never-commit/ […]

Comments are closed.