SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

One On One With Former Miss Universe Winfrida Dominic
Mitindo

One On One With Former Miss Universe Winfrida Dominic 

Winfrida Dominic alishinda taji la Miss Universe mwaka 2012, alianza kama model ambapo amesha tembea kwenye majukwaa mbali mbali ya mitindo, Winfrida ameacha umodel kwa sasa ni mama na mjasiriamali ana uza bidhaa zake za nyusi bandia hii ni moja kati ya sababu kubwa zilizo tufanya tumtafute na haya ndio mahojiano kati yetu na Winfrida,

Afroswagga –  Turudishe mwaka 2012 Miss Universe ni namna gani imekubadilisha? Je imekuuinua mpaka ulipo sasa?

Winfrida – kwanza kabisa Miss universe kwangu imeakua Opening door for many opportunites  ,imebadilisha maisha yangu na mtazamo wangu maisha kiujumla , nimejifunza mengi sana , ,as 19 years old girl fursa za kufanya kazi za modelling na kusafiri nchi mbalimbali  ziliinua maisha yangu.
Afroswagga – Tumekuona kwenye swahili fashion week 2016 je bado una fanya kazi ya umodel?
Winfrida –  swahili fashion week 2016 nilikuepo kwasababu mmoja wa wabunifu aliniomba sana niwepo , ila kwa sasa nimeweka pending my modeling career.
Afroswagga –  Hongera kwa kuwa mama, tuambie una manage vipi kuwa mama na kazi zako?
 Winfrida – Asante kwa hongera , hapa Marekani sio rahisi kua na dada wa ndani so  mda mwingi mtoto anakua daycare anasoma na kucheza hadi saa 8 mchana na mm nafanya kazi na masomo zangu kama kawaida tuu .
Afroswagga – Health Tip kwa wamama maana umekuwa mama lakini mwili upo vile vile
Winfrida – Health tips kwa wamama ni kunyonyesha kwa wingi inasaidia kupungua haraka ,na kula mlo kamili .
Afroswagga -tumeona una bidhaa mpya ya Lashes, Tuambie Nini Kimekufanya uanzishe Winny Lashes? Kwanini Lashes na Si Kingine? Nini Kimeku-Inspire? 
Winfrida –  kitu au watu waliniinspire ni wakati nallikua nasoma  NEW YORK FILM ACADEMY my classmate walikua wanisifia lashes zangu ndefu sana na nzuri  nilikua mjamzito so huenda ilichangia kua na kope kua  ndefu so mm nilikua nawaambia its winnylashes . ndo hapo winnylashes idea ilipo anzia nikaona fursa na nikaifanyia kazi. 
 na ni nimeamua lashes kwanza kwasababu napenda sana urembo na pia lashes inamchango mkubwa sana katika look ya makeup na pia TAnzania tuna brand chache za urembo especially kope. 
Afroswagga – Winny Lashes zinatofauti gani na Lashes Nyingine?
Winfrida –  winnylashes ni kope ya aina ya 3D MINK LASHES ambazo zinatofauti na zingine za kawaida .hizi unaweza vaa mara 30 bila kuharibika na laini imara na ni rahis kuweka jichoni na sio zile za platistic ;-
  
Afroswagga -Umejiandaa vipi na kucompete na International Market?
Winfrida – nimejiandaa kua  mbunifu zaidi namna ya ku weka quality products na package nzuri na kufanya broad markerting  with colaborating.

 
Afroswagga- Je kuna product nyingine za urembo tutegemee kutoka kwako?
Winfrida – YES kuna products nyingi nzuri sana zitatoka next year nitakapo fanya launch ya  WINNY BEAUTY PRODUCTS.with WINNY LASHES pamoja na kuintroduce iyo new product.
Afroswagga – Tips kwa wajasiriamali wengine?
Winfrida – Tips kwa wajasiriamali ni kusoma au kuchukua classes za biashara kabla ya kuanza kuifanya na sio kila kitu utapata kwenye google tuu.
Afroswagga -chochote ambacho ungependa kuwaambia wa-Tanzania. 
Winfrida-  ningependa kuwaambia Watanzania nawapenda sana na pa tuzidi kupeana support zaidi.
Kama ungependa kumfollow Instagram @Winfrida_dominique kupata Winny Lashes Click Hapa @WinnyBeautyProducts

Related posts

3 Comments

  1. liberty cap mushrooms the forest

    … [Trackback]

    […] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/one-on-one-with-former-miss-universe-winfrida-dominic/ […]

  2. mushrooms of Florida

    … [Trackback]

    […] Here you can find 74554 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/one-on-one-with-former-miss-universe-winfrida-dominic/ […]

  3. สล็อต

    … [Trackback]

    […] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/one-on-one-with-former-miss-universe-winfrida-dominic/ […]

Leave a Reply