SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

One On One With Model Calisah After Winning Mr. Africa International
Mitindo

One On One With Model Calisah After Winning Mr. Africa International 

Calisah ni moja kati ya wanamitindo wakubwa kabisa kutoka Tanzania, Week iliyopita Calisah aliweza kushinda taji la Mr. Africa International huko Nchini Nigeria kulikofanyika shindano hilo, ukiachana na kuwa mwanamitindo wa kwanza kupata taji hili Nchini Tanzania lakini pia ni mwanamitindo wa kwanza kuchukua taji hili Nchi za Africa Mashariki.

Tumepata kufanya nae mahojiano unaweza kusoma hapo chini

AfroSwagga – Ulijisikiaje Kuitwa Kama Mr. Africa 2018 baada ya mwaka jana kushindwa kuhudhuria katika shindano hili?

Calisah -najiskia furaha kukamilisha Moja ya ndoto Kubwa nilizokua nazo katika maisha, kutohudhuria siku zilizopita ni kutokana ugumu fulani fulani ambao ulikua unanifanya nishindwe, Ila naamini labda haikua wakati sahihi wa mungu kutaka Mimi niende.

AfroSwagga – Ulifikiri kwamba utashinda hili shindano?
Calisah – Kabla sijashiriki nilijua kama nikifanya bidii naweza kushinda, Ila nikipofika Na nikaona washiriki wa nchi tofauti nikaingia ubaridi baada ya kuona kuna vitu wamenizidi, Ila sikua namuonesha Mtu yoyote kama Nina hofu,
AfroSwagga – Unadhani ni kitu gani hasa ulicho kifanya mpaka ukawashinda wengine?
Calisah –  nilihakikisha naangalia weakens Za washiriki wengine Na kuzirekebisha kwangu, Pia kujiamini, kutoonyesha unyonge, wala kutomuogopa mshiriki mwenzako, kujibu maswali vizuri, kua Na confidence kwenye kila kitu Na wakati wote, kusali Na kujua kupangilia mavazi,
AfroSwagga – Mr. Africa ni platform kubwa sana, kama umeshinda una plan gani ya kusaidia models wengine wa kiume Kutoka Tanzania?
Calisah – plan Ni nyingi sana ukizingatia Mr Africa anatazamwa Na Africa nzima, kuna mikataba mingi nimesaini Na watu wataona jinsi nitaanza kufanya kz Za kijamii na kusaidia vijana nchini kote
AfroSwagga – Baada ya Mr. Africa tutegemee nini Kutoka kwa Calisah?
Calisah –  no dissappointment

Related posts

5 Comments

  1. เว็บพนัน

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/one-on-one-with-model-calisah-after-winning-mr-africa-international/ […]

  2. สล็อตเว็บตรง แตกง่าย

    … [Trackback]

    […] Here you can find 24977 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/one-on-one-with-model-calisah-after-winning-mr-africa-international/ […]

  3. chocolate mushroom bar

    … [Trackback]

    […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/one-on-one-with-model-calisah-after-winning-mr-africa-international/ […]

  4. Testosteron Cypionat Bestellen

    … [Trackback]

    […] There you will find 94739 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/one-on-one-with-model-calisah-after-winning-mr-africa-international/ […]

  5. Darknet market links list 2023

    … [Trackback]

    […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/one-on-one-with-model-calisah-after-winning-mr-africa-international/ […]

Comments are closed.