SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Elisha Red Label Talk’s About Nandy’s Traditional Wedding Dress
one one one

Elisha Red Label Talk’s About Nandy’s Traditional Wedding Dress 

Hongera kwa mwanamuziki Nandy na mpenziwe Billnas ambao hivi karibuni wamevishana pete na kufanya Traditional Wedding, katika Traditional Wedding Nandy alivalishwa na mbunifu Elisha Red Label ambae tumepata nafasi ya kuongea nae kuhusu vazi alilomvalisha mwanamuziki huyo,

AFS: Tunaomba Tukujue Kwa Ufupi

Elisha: I am Elisha, Founder and CEO of THEE RED LABEL, nimekuwa katika hii Tasnia tokea 2012, at Thee Red Label we specialize in all things Fashion, bridal, evening wear, ready to wear and more to come

AFS: Je Inspiration Behind Ile Gauni Ni Nini?

Elisha: The inspiration of that dress was wealth, Gold ni representation of wealth and ikiwa ina contrast under a black color it makes it shines the best… so basically wealth.

AFS: Imechukua Muda Gani Kutengeneza?

Elisha: It took five days kushona na ku-style the look.

AFS: As ulikua usiku mkubwa kwa Nandy uliwezaje kuchagua hii design ndio inafaa, Assuming ulikua na design nyingi

Elisha: We had a meeting, ambavo ndio nafanya na all the ladies I dress, tunakaa tunajuana vizuri tunajuana ideas na kueleweshana ideas and come up with something that best suites her, so the same with Miss Nandy we had a session and figured out ideas of what works for her and thats how it came to be.

AFS: How Was It Working With Nandy?

Elisha: She is so laid back and chilled, she has this calming sweet energy to her, and has one of the best characters a designer could ask for in a client, by which she lets you do the magic without interfering or giving too many boundaries, she literally lets your art shine through

AFS: Ime cost kiasi gani mpaka nguo kuisha?

Elisha: No comment

AFS: Tumeona Watu Wakilalamika Nguo Fupi, Je Kwanini Mlitaka Iwe Fupi Na Si Ndefu Kama Matarajio Ya Wengi?

Elisha: Fashion shouldn’t be put in a box, fashion is multi-dimensional, fashion should not be predictable and obvious, break some rules, I encourage people to Dare to be different and unique in their fashion choices, kila siku huwezi kuvaa magauni marefu, au offshoulder kila siku, nguva kila siku, try something unexpected, make it fun, kwa mfano pale ukumbini waalikwa wa kike wote walivaa gauni za nguva all her bridesmaids walikuwa na gauni za nguva, so it would be redundant na yeye kuwa kama kila mtu pale, life is too short to wear the same style dresses all over and over again.

AFS: Tutarajie Kuona Umemvalisha Tena Hio Siku Ya Big Day Kabisa?

Elisha: Inshaallah… Thank you for your time, and keep up firing up the fashion industry.

Related posts