AFS: Tungependa Tukujue Kidogo Jina Lako Halisi, Masomo Etc
Sishkikii: Nafahamika kwa Sishkiki sikamatiki. As first & lastname. Lol. A graduate at UDSM that majored in social science.
AFS: Kwanini Sishkiki Sikamatiki?
Sishkiki: kwasababu sishkiki. 😄Nilitaka jina linitambulishe kabla mtu hajanifahamu vizuri.
AFS: Tumeona Unafanya Skin Lightening Imefikia Wapi?
Sishkiki: well its a very gradual and complex proceedure i promis to do a thorough review soon for you guys

AFS: Week Chache Nyuma Kwenye Stories Zako Instagram Ulisema Itafanya Surgery Kwaajili Ya Kutoa Fine Lines, Je Ni Nini Kilikufanya Uamue Maamuzi Haya?
Sishkiki: i love perfection.! Mimi napenda kujiimprove kila siku.i think ppl should be more receptive & adopt to the new ways of life. Tukubali Plastic is the new beauty routine. U cant be competitive in the industry today if u dont stay young & look good. Whether its a 300€botox or a 9000€ breastlift, almost every succesful person in the western entertainment industry has done it. Sasa we kwanini usifanye.u cant urgue with protocol🤷🏽♀️Ts basicaly Darwin’s law, if you dont adopt to change, you become extinct. I plan to have botox & fillers on my next trip to serbia which is where i plan to do my proceedure.
AFS: Umeshapata Surgeon Wa Kukufanyia?
Sishkiki: Bado nafanya research na naongea na couple of clinics but am yet to choose.

AFS: With All The Feedback Kuhusu Surgery Kwenda Wrong, Umeangalia Au Unaangalia Kitu Gani Kupata Surgeon Mzuri?
Sishkiki: There has to be zero death counts. I also chek the clinic’s reviews on google. Trust me it helps.! All big doctors ukiwa search google wanatokea na reviews article nyingi tu kuhusu wao, na wengine adi wikipedia wapo. You can get a perspective there because no one who is botched will stay quiet abt their experience.
AFS: Umepata Uoga Wowote Baada Ya Munnah Ambae Amefanya Surgery Kusema Amepata Tatizo?
Sishkiki: Sina uwoga kwasababu namtumainia Mungu na naamini pia Mungu atamponya. Namuombea sana apone. We live & we learn. We move on regardless.

AFS: Well The Body Is Bodding Tumeona Pia Umesema Hujafanya Surgery Ni Diet Na Mazoezi Unaweza Kutupa Routine Yako Ya Chakula Na Mazoezi Kwa Siku?
Sishkiki: kwa hili naomba nisiliongelee kabisa maana kila nikiliongelea nalewa vichambo🤣.Acha niwabless na photoshoot za bikini for my lingerie line nayotarajia kufungua hivi karibuni.😌
AFS: Body shaming and body positivity, watu kujipenda ni kikwazo kwa kwengi. How do you maintain this and what gives you confidence daily? And siku mbaya, how do you move through?
Sishkiki: it unsettles me to even speak abt this coz it makes me revisit alot of emmotional toil. Nimeshazoea sometimes kukosolewa coz hata mm hodari wa kukosoa pia. Ila tu mimi huwaga nakosoaga very constuctively. Ili mtu ajengeke napenda kuona watu wakiwa bora. However sometimes ppl just rant to break a person & i think they should do that responsibly…LikeForwardCopyReport… Having seen the suicide rates goin up now days inabidi tuwe very coutious of social media bullying.
Related posts
2 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/one-one-one/fashion-surgery-body-shaming-with-sishkiki-sikamatiki/ […]
… [Trackback]
[…] There you will find 374 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/one-one-one/fashion-surgery-body-shaming-with-sishkiki-sikamatiki/ […]