SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Jojo Gray On Being A Mom & Keeping It Stylish
one one one

Jojo Gray On Being A Mom & Keeping It Stylish 

Tunamjua kama Jojo Gray lakini jina lake kamili ni Joan D Gray, mwanadada aliyejipatia umaarufu kutoka na style zake za mavazi (fashionista) tumepata nafasi ya kufanya nae interview na kutueleze mambo mbalimbali kuhusu mitindo na urembo

Afs: Tuanze Na Historia Yako Kwa Ufupi.

Jojo: my name is Joan D Gray,i am 29 years old,mom of 2 kids, wife to my Lovly husband and entrepreneur

Afs: Una-Manage Vipi Kuwa Mama Na Bado Ukawa Stylish Most Of The Time?

Jojo: Well it’s very simple , fashion it’s in my blood , fashion is party of my life so no matter what situation am in siwez acha kuonekana vizuri , hata nikiwa mjamzito au nalea mtoto mchanga i always want to look good , and also i have supportive husband , mom friends who help me with my kids on top of that i have Nanny who help me with households so that’s makes easy for me to have time for both self and family, pia am very organised person i always set routine and prioritize my tasks , in fact i like to plan my day a night before of few days before the event that’s help me to have a lot tome for myself and my children.

Afs: 5 Fashion Tips Kwaajili Ya Mothers To Live By?

Jojo: i)Wear clothes that’s fits well
upgrading your wardrobe for a start and invest in dress that flatters your new mom figure; for example, pencil skirts,cocktail dresses ,dark jeans and cute blouses
Also find style that’s makes easy to nurse or pump sus as warp dresses.

(ii) Buy Quality over quantity
Stop trying for varieties and look for clothes with quality fabrics or buy fabric that you love and tailoring them for few dress that’s make you look beautiful.
Invest in dark or neutral colors you won’t be stressed for matching up with shoes and handbag

(iii)Good Hair styles
Pick a hair style that’s looks amazing without too much maintenance such us braids, use of ponytails or bun and a short haircut can look amazing too.

(iv)The perfect handbag
Buy a bag that can hold all the staff like the best tote bags for moms but look fashionable.
Find a bag that can move from purse to diaper bag and back with ease.LikeForwardCopyReport

(v) Take time for yourself
As busy you might be take time for yourself develop your skin care routine at home or visit spa ,do pedicure and manicure, a healthy glow skin together with freshly painted nails can help add style and statement to any of your loo
k


Afs: Tupe Siri Ya Ku-keep Body Vizuri Hata Baada Ya Kua Mama?

Jojo: to be careful about eating healthy food and not eating too much.
Most of mom’s think kula sana ndo kupata maziwa mengi wakati wa kunyonyesha , tumekua tukiamini bila mitori / ma uji uwezi kupata maziwa which is not true badala yake ndo unaongezeka mwili sana na inakua ngumu kutoa baada ya uzazi
so mm kipindi cha uzazi huwa nakula mboga mboga , matunda , maji mengi nk
na nakua na maziwa mengi bila kuharibu mwili wangu .

(ii)kufunga tumbo na belt au kanga.kufunga tumbo inasaidia pia sana kurudi kwenye body yako
especially zile siku 40 za mwanzo ukifunga vizuri tumbo linarudi fasta tuu

(ii) exercise, yess mazoezi pia yanasaidia sana 😂 japo i workout mara moja moja sana ni mvivu 🤦🏼


Afs: Fashion Trend Unayoipenda Na Usiyoipenda Kwasasa?

Jojo: kwa sasa fashion trend ninayo ipenda ni kuvaa nguo za local desgner watu wa hapa Tz yani nafurahi sana kuona kwa sasa kuvaa nguo za ma degner wetu wa hapa Tz ni ujanja zaid ya kuvaa nguo za nje tofauti na zamani , ni kitu kizuri kwakweli nafurahi kuona Tz degners wanakua .Mimi ni mvaaji mzuri sana wa nguo za ma degner wetu wa Tz
shoutout to my desgner @mahaumes @desgnerby shuu and @lizzy tailor, na Fashion trend sipendi kwasasa ni viatu vya m
idoli

Afs: Skincare Tips For All The Women Out There

Jojo: (i) Drink enough water /fluids,Your skin can become too dry if you don’t drink enough fluids.

(ii) Use of sun screen lotion Avoid sun exposure , wear protective clothes

(iii) Avoid switching up your skincare products all the time, switching your skin care product too often may slow your progress with any of them

(iv) Stress less Stress can can harm your skin, leading to more winkles as you get older as well as other parts of the body .

(v) Get enough sleep As adults we need 7-8 hours of sleep.


Afs: Most Expensive & Least Expensive Outfit You Own Ina Cost Sh Ngapi?

Jojo: Least expensive out fit ni top flani iv ya mtumba ameizing nimenunua Aftatu 😂
afu naipenda sana & Most expensive dress ni wedding dresss


Afs: Vitu Vi5 Ambavyo Huwezi Kukosa Kwenye Handbag Yako?

Jojo: vitu ambavyo havikosi kwa handbag yangu ni Business cards ,pen,portable phone charger, feminine products, hand sanitizer,wipes,pain relievers,keys,lip balm,mints,hair elastic when needed (like when holding my baby


Afs: Chochote Ungependa Kuongezea

Jojo: cha mwisho niwaambie tuu kina mama wa hiki kizazi chetu kwamba kuzaa sio kuzeeka/ kujianchalia kuna maisha baada ya uzazi yes mpende mwanao ila usijalisahau na wewe

Related posts

2 Comments

  1. auto transport companies

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/one-one-one/jojo-gray-on-being-a-mom-keeping-it-stylish/ […]

  2. สล็อต ฝากถอน true wallet เว็บตรง 888pg

    … [Trackback]

    […] Here you can find 15988 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/one-one-one/jojo-gray-on-being-a-mom-keeping-it-stylish/ […]

Comments are closed.