AFS: Tunaomba Tukujue Kwa Ufupi
Mahaumes: Jina langu ni Mahaumes Patron born and raised in Dar. Started designing in 2017
AFS: Je Inspiration Behind Ile Gauni Ni Nini?
Mahaumes: Inspiration yetu ilikua ni to present a woman in different ways like she can be working and still look good and nice and presentable

AFS: Imechukua Muda Gani Kutengeneza?
Mahaumes: It took 2 weeks kutengeneza na kupata kilichotarajiwa na muheshimiwa
AFS: As ulikua usiku mkubwa kwa Tanzania Music Awards uliwezaje kuchagua hii design ndio inafaa, Assuming ulikua na design nyingi
Mahaumes: Rudi namba 2

AFS: How Was It Working With Jokate?
Mahaumes: Kufanya kazi na Mh Jokate ni raha because she is happy all the time pia she is open to suggestions and she contributes as to what we should do. She knows what she wanted which was much more easier to come up with our end result. So to me working with is a great experience and I do enjoy it and I’m looking forward to work with her more.

AFS: Je Yeye Ndio Alikuja na Idea Zake Au Ni Wewe Ulimtumia?
Mahaumes: Ni yeye alikuja na idea yake na tukaifanyia kazi na kuibadilisha palipobidi na kupata kitu kizuri ambacho wengi wake kisifia.

AFS: Tutarajie Nini Kutoka Kwa Mahaumes Mwaka Huu?
Mahaumes: Tutarajie mengi mazuri na makubwa kutoka kwangu as I plan to keep on growing and spreading my wings.
Asante.
Related posts
4 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Here you can find 40830 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/one-one-one/mahaumes-aongelea-kuhusu-kufanya-kazi-na-jokate-mwegelo/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/one-one-one/mahaumes-aongelea-kuhusu-kufanya-kazi-na-jokate-mwegelo/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/one-one-one/mahaumes-aongelea-kuhusu-kufanya-kazi-na-jokate-mwegelo/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/one-one-one/mahaumes-aongelea-kuhusu-kufanya-kazi-na-jokate-mwegelo/ […]