SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Martin Kadinda On Harmonize & Kajala’s Engagement Day Looks
one one one

Martin Kadinda On Harmonize & Kajala’s Engagement Day Looks 

AFS: So the one and only MK umeweza simamia theย #Harmojalaย late lunch turned into engagement party kuanzia mavazi hadi decor. Kwanza hongera sana na je the whole event coming to life, ilikuwa ni a planning na execution ya muda gani in both decor and outfits?

Martin: Outfit took us like 15 days,to come up with the look ambayo tulikua tunahisi inafaa, then to produce it getting through the research for the fabric buying fabric mpaka kuweza kuipata by the way i did it in Turkey so they was there for 7 days, so kusecure fabric na kuweza kuifanya iwe tairoled na kuifanyia fittings mpaka kuweza kurudi nayo bongo lets say kama siku 7 hivi.

About the decor set we had an image ya how we wanted it to be, Hugo Domingo wakaja and then we agreed on certain colors,set and everything and then wenyewe wakamalizia kuifanya so the decor has been done by Hugo domingo.

AFS: Harmonize looked sharp in the suit. Waweza tupa details on his look, the suit colors, type, shoes plus accessories?

Martin: Basically i tried to have a very minimalized look for Harmonize, kwasababu so far tunamjua Harmonize ni mtu ambae yupo very bold his very raw and he work out very much, kwahio ameshatengeneza mwili mkubwa ana mwili fulani ambao umekuwa mkubwa sana, so nilitaka kutorn down ule mwili kuwa mkubwa i wanted to have a very polite, humble african boy, So i hope niliweza kuachive so i looked for a neutral color which was gray and the fabric was super good i got it in Turkey as well i did the white tuxedo shirt, butterfly bow tie, watch and ana pete ya white gold, yah so nilijaribu sana kumfanya awe kijana wa ki-Tanzania, humble Harmonize and i hope niliweza kua-chieve hilo.

AFS: Wengi walitegemea a body hugging dress lakini imekuwa tofauti. Je ni kipi kilifanya mchague aina hii ya gauni?

Martin: So surprisingly sikutegemea kama Kajala anaweza kukubali kuvaa nguo kubwa ambayo haimshiki mwili, na we have seen Kajala most of the time akitoka nikiwa nimemshonea au ameshonewa na mtu mwingine its all about body,Kajala she is an African woman,she is very curvy so sikutaka iwe siku ya kwake kuwa curvy, i wanted her to be very comfortable kwasababu kwanza she is very emotional person na i knew she will cry, i knew she would go through alot of emotional moments so nguo ya kumshika inayoendana na mwili always inatakiwa kuwa makini sana katika kuiangalia kuirekebisha kuifanya ikae vizuri so i wanted her to be very comfortable. So even the sketch and when design ilivyo come to life alivyo ijaribu, she liked it alitaka mabadiliko madogo kama kufunikwa nyuma kwasababu nguo ilikuwa inatakiwa ibaki mgongo wazi, akataka ifunikwe, ukiiangalia kwa nyuma utakuta kweli imefunikwa eneo la mabega but alikubaliana na kilakitu ambacho nilikuwa nime ki-suggest which is very important the shoes i bought in Dar Es Salaam hapahapa.

Bonus Scoop Questions

AFS: Je tutegemee utafanya the wedding fits too? It’ll be magical.

Martin: For me Insha’Allah Mwenyezi Mungu akijaalia wakifunga ndoa, i might be their planner kwasababu so far nadhani vitu vingi ambavyo nimekuwa nawaeleza wamekuwa wakinisikiliza na wamekuwa wakikubaliana navyo, so itadepend na vendor gani tutampata it might be Kelvin Events, it might be Hugo again hii yote itategemeana na vendor from their prices as well na kama wataweza kuachieve kile ambacho tutakuwa tunakihitaji.

Lakini kwangu im very excited, i will just do a magical wedding, i’m trying to set a different trend tusifanye vitu ambavyo tumevizoea kilasiku watu wanavifanya so thats a major achievement i want and as i always say i sell the feelings so i will be selling the good feelings to wageni waalikwa mpaka wenyewe wahusika.

AFS: And the stone mwenzetu umeiona kwa karibu, tungependa kujua ni aina gani if you happen to know

Martin: About the stone yah,the engagement ring ni imenunuliwa kutoka kwa watu wanoitwa blue diamond but its white gold with diamond and its a beautiful ring honestly nimeiona kwa karibu and ni pete nzuri sana, i dont have a picture here but im sure ukiiangalia utaiona tu its from blue diamond but its white gold with diamond.

Extra Details

Dress: Martin Kadinda

Suit: Martin Kadinda

Ring: Blue Diamond

Makeup: Lavie Makeup

Harmonize Barber: Msukuma_Cutting_Tz

Mc: Mc Gara B

Pictures: Benard Atilio, Martin Kadinda & Ryan Edition

Related posts