SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

ONEKANA STYLISH BILA YA KUTUMIA GHARAMA KUBWA
Dondoo

ONEKANA STYLISH BILA YA KUTUMIA GHARAMA KUBWA 

Wengi wetu hudhani kuonekana stylish ni kununua au kuvaa vitu vya gharama kubwa mara nyingi tumesha wahi kukutana na msemo huu “ana hela kwanini asipendeze” au “siwezi kupendeza vile nina hela gani mpaka nipendeze”? tuna weza kusema your so wrong by saying that. Kupendeza au kuwa stylish si kutumia gharama bali ni ku-style icho kidogo ulicho nacho kwa namna nyingi tofauti tofauti bila ya kuchosha.

  • Accessorise – kitu cha kwanza ambacho kina weza kuleta muonekano mpya katika vazi lako ni urembo mfano: hereni, saa, bangili au mkufu. Nunua hivi vitu vya design tofauti tofauti na kila unapo vaa vazi lako ambalo unaona liko plain add kitu kidogo cha kuchangamsha muonekano huo kama saa au mkufu, uta shangaa jinsi a small thing can make a big different

skirt-and-top-accessories-e1453329973671

 

  • Uchaguzi wa rangi – wengi wetu ambao tuna sema hatuna hela tuna nunua mavazi ya mitumba (2nd hand) lakini si watu wa kuchagua rangi. mara nyingi tuna enda katika masoko ya mitumba bila ya kuwa na plan chochote tutakacho kiona kime tuvutia mbele ya macho yetu tuna nunua tu, hii ina tupa tabu sana katika namna ya kuvaa na mavazi mengine ndio maana huwa tuna vaa tu ali mradi tume vaa, kwa ushauri wetu nguo nzuri kununua ni neutral color kama nude, grey, nyeupe, nyeusi nakadhalika ina kuwa rahisi kuvaa na rangi nyingine kama floral shirts, printed t-shirt au hata neutral on neutral ina pendeza etc hivyo kabati lako liwe na rangi za design hii nyingi kuliko rangi za kuwaka au zenye maua maua ili uwe na uwezo wa kubadilisha na ku style mara nyingi uwezavyo

una weza kuona hapo chini alivyo style t-shirt moja nyeupe mara nyingi bila ku bore.

White-Tee-thumb

  • Invest katika mavazi unayo weza kuvaa mara mbili mbili – usinunue kitu kwa sababu tu kipo kwenye trendy, vipi kama trend ikiisha una weza kukivaa tena? kwetu tuna kushauri ununue nguo ambazo zina weza kuvalika hata kama haipo kwenye trendy wakati huo kuna zile trendy zisizo isha kama jeans inayo kutosha, flats shoes za ballet, maxi skirts nakadhalika hii itakusaidia kuto kuwa na uhitaji wa kununua nguo mara nyingi nyingi bila sababu.

6a00d8358081ff69e20177446e7e8b970d-800wi

Ni Matumaini yetu ume jifunza kitu wasiliana nasi kupitia

Instagram – afroswagga

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz

 

 

Related posts