Kama kuna kitu ambacho wabunifu wa Nchi za nje wana fanya ni kuacha legacy, kufanya brand yake iendelee kuishi miaka na miaka, wanajua nini wanataka na wana bring it to the table, wapo creative and neat. Kitu ambacho wabunifu wengi wa ki Africa hawana, wenzetu anaweza kutoa collection nne kwa mwaka na zote zikawa perfect na kugusa kila aina ya mtu kwetu ni tofauti tunatoa collection moja na yet ni chache ambazo zinaeleweka.
Anyways tuongelee hii collection mpya ya Oscar De La Renta RTW Fall 2018, Fall/Autumn season kwetu Tanzania tunaiita Demani au majira ya mapukutiko hiki ni kipindi ambacho tunatoka katika kipindi cha kiangazi tukielekea katika kipindi cha kipupwe (majira ya baridi) pale katikati majira yanakua mazuri mawingu na vimvua vya hapa na pale kabla ya kiangazi kupotea na baridi kunoga.
Season hii kwa wenzetu huwa wanavaa colorful (bright colors) na Oscar De La Renta katika collection yake hii ametumia colorful colors na pia ametumia ubunifu wa majani kwenye mavazi yake, kwa sababu kipindi hiki majani hupukutika sana (genius right?)
Kulikua na rangi tofauti ikiwepo rangi nyeusi with falls touch kama embroideries flowers & leave’s
Talking about colorful (bold colors) amechagua pink na njano ambayo inaelekea kwenye mustard color, hapa pia ameongeza touchs za majani na rangi nyeusi
Rangi nyingine zilikuwepo pia ni nyeupe na nyekundu
For Night events kama weddings au red carpets Oscar amechagua classic black ambazo hizi nyingi zinilia ni kata mikono
Tunatumaini kuna mbunifu out there ambae atakuja kutupa designs kali kama hizi hivi karibu, we all should take notes.
Related posts
8 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/oscar-de-la-rentas-rtw-fall-2018-collection-is-just-perfect/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/oscar-de-la-rentas-rtw-fall-2018-collection-is-just-perfect/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/oscar-de-la-rentas-rtw-fall-2018-collection-is-just-perfect/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/oscar-de-la-rentas-rtw-fall-2018-collection-is-just-perfect/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/oscar-de-la-rentas-rtw-fall-2018-collection-is-just-perfect/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/oscar-de-la-rentas-rtw-fall-2018-collection-is-just-perfect/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/oscar-de-la-rentas-rtw-fall-2018-collection-is-just-perfect/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/oscar-de-la-rentas-rtw-fall-2018-collection-is-just-perfect/ […]