The Academy Awards hizi hujulikana kama “The Oscars” ni Tuzo hutolewa kwa artistic na technical merit waliopo katika tasnia ya filamu.

As always sisi kwetu huwa tunaangalia nani amevaa nini na je alipendeza au lah? Tuanze na our top 6 best looks

Lakini pia kuna wale ambao kwetu tuliona wameenda nje kidogo

Well Afromates tuambie nani ni favorite yako na nani unaona amepotea kabisa