SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Otile Brown, Tanasha Donna & Juma Jux New Music Cover Review
Mitindo

Otile Brown, Tanasha Donna & Juma Jux New Music Cover Review 

Week imkuwa nzuri wasanii mbalimbali wametoa nyimbo, yes tunasema week imekuwa nzuri kwa maana na huku kukaa ndani halafu playlist ileile unaweza kuhisi uchizi.

Wasanii kutoka Kenya Tanasha Donna ametoa wimbo mpya wakati na Otile Brown yeye ametoa album wakati kwetu Tanzania Juma Jux Ft Maua Sama nao wamekuja na ngoma mpya. Kama kawaida sisi tupo hapa kuangalia cover zao ni nini wamevaa na je jicho letu limependa tulicho kiona au Lah

Tuanze na cover ya Otile

Cover yake amevaa coat ya suit, shirt nyeupe, underwear nyekundu, loafers akiwa amemalizia na accessories. Yes tunaweza kusema hii ni creativity tumeona cover nyingi wasanii wakiwa wamevaa suit, yeye amekuja kipekee. Lakini tungependa kujua kwanini chupi nyekundu angeweza kuvaa nyeupe na ikawa smart hii nyekundu sio tu inavuta watu kuangalia pale lakini pia ni destruction kwenye outfit.

Tukija kwa Juma Jux

Juma nae ametoa wimbo mpya aliomshirikisha mwanadada Maua Sama, Juma na yeye ameamua kuwa na boxer tupu ya brand yake ya African boy. Kwetu tumeona ni namna nzuri ya ku-advertise brand yake. simplicity & neat

Mwanadada Tanasha Donna

Tanasha yeye alikuwa kwenye cover ya mwimbo wake mpya ambapo alitumia makopo ya soda kama rollers, hii tulishawahi kuiona kwa watu kama Beyonce, Lady Gaga, Ashanti wakati pia mwanadada Vanessa Mdee nae alishawahi kutumia hii style kwenye cover ya wimbo wake.

Well Afromates tuambie cover ipi imekuvutia zaidi na ipi ambayo umeona hapana.

Related posts

3 Comments

 1. Psilocybe Cubensis B+

  … [Trackback]

  […] There you will find 86722 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/otile-brown-tanasha-donna-juma-jux-new-music-cover-review/ […]

 2. mushrooms of Florida

  … [Trackback]

  […] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/otile-brown-tanasha-donna-juma-jux-new-music-cover-review/ […]

 3. buy psilocybin mushrooms in denver​

  … [Trackback]

  […] There you will find 63360 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/otile-brown-tanasha-donna-juma-jux-new-music-cover-review/ […]

Comments are closed.