SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Our Dear Men Its Okay To Take care Of Yourselves
Mitindo

Our Dear Men Its Okay To Take care Of Yourselves 

Imekuwa muda sasa tukipita katika mitandao ya kijamii tunakutana na msemo wa “wanaume wa dar” ambao wengi huwa wanasema wanaume wa dar wamezidi kujipenda na wengine wakiambiwa wewe ni mwanaume wa dar wana kasirika, oh well oh well sisi hatuoni tatizo kwa mwanaume kujipenda hapa tunaongelea kama ameamua kujipenda mwili wake as in

  • Kufanya Diet / Kujenga mwili wake

Wengi utasikia wanasema mwanaume wa dar chips yai hamalizi kwamba wanakula portion ndogo ya vyakula, well ni kitu kizuri kujua mwili wako na kuupeleka vile ambavyo unaona ni sahihi kabisa kwako, kama unapenda mwili wako ujengeke bila kubeba vyuma kula vyakula ambavyo vitakusaidia kufanya hivyo. Follow your diet of course girls wenyewe wanapenda miili fulani amazing, its real is okay kujipenda.

 

  • Kutumia mafuta ya nywele, ndevu na mwili

 

hatujui hii theory ya wanaume kupauka ndio uwanamume imetoka wapi, its okay kupaka mafuta ya nywele, ni sawa kupaka mafuta ya ndevu ni sawa kupaka mafuta mwilini ni sawa ngozi yako kuwa laini, ni sawa ngozi yako kuwa hydrated lakini pia ngozi kavu haivutii hata kidogo sio tu kwa mwanamke hata wanaume pia.

  • Ni sawa kupangilia mavazi yako

 

Tumesikia mara nyingi mwanaume akijipenda wanaambiwa huyu nae ana vaa ana match rangi au anapangilia mno kama mwanamke??????? Well everybody deserves to look good, actual wanawake wanapenda wanaume wanao chukua muda wao kufikiria kuhusu mavazi, that means kama wewe unajipenda definitely na yeye utakuwa unaweza kumkosoa akikosea kwenye mavazi, pia who doesn’t like when his man/woman look good?

  • Kunukia vizuri

 

Kama kunamtu alisha wahi kukwambia mwanaume ni kunuka jasho cancel him or her in your life hakutakii mema, just smell good sion tu kwaajili ya wanawake lakini kwako pia & the whole society.

 

Related posts

2 Comments

  1. Ultimate weed buying

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/our-dear-men-its-okay-to-take-care-of-yourselves/ […]

  2. ephedrine for sale

    … [Trackback]

    […] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/our-dear-men-its-okay-to-take-care-of-yourselves/ […]

Comments are closed.