SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Our Favorite And Worst Outfit Of The Week
Mitindo

Our Favorite And Worst Outfit Of The Week 

Inapofika jumatatu huwa tunafurahi na tupo tayari kukupa updates za nani alipendeza na nani alizogoa week hio, well we have to say last week had looks kila mtu alijitahidi kulingana na uwezo wake kupendeza katika nafasi yake lakini hakukosekanagi wale ambao nao hawajielewi let’s see who made it to our list this week

Mwanamuziki Shetta took the gram with this blue suit number kutoka kwa mbunifu @clemoodesigner , tumependa jinsi ambavyo suit imekuwa styled no shirt amefunga buttons lakini pia aliongezea layered necklace so dope akamalizia kwa kuvaa miwani, saa na bracelet chini alivaa white kicks ( its a trend now )

Fashionista Lavidoz alimalizia week yake na shirt dress nyeupe na mcm shoe’s and bag pack, okay Lavidoz can you start styling people already? Madam please these Tanzanian artist needs you.

Jacqueline Mengi yeye alimaliza muonekano wake in neutral colors ambapo alivaa off white shorts, white shirt akimalizia muonekano wake na channel bag na Dior sandals amemalizia with accessories kama long earrings saa na pete ( that’s how you update a casual outfit)

Rapper John Makini amemalizia week yake na all white outfit, amemalizia muonekano wake na accessories ndogo ndogo saa na bracelets na miwani seems like white ilitamba sana na miwani. He looked fresh & clean

Faiza Ally yeye alivaa denim trouser ya blue, white linen shirt, blue sneakers na black sunglasses lets say she killed this look

ambae kidogo tuliona amezingua ni Video Vixen Irene she went to be the bad version of  chun li on this one, sometimes less is more

Related posts

3 Comments

 1. download private facebook video to computer

  … [Trackback]

  […] There you will find 52827 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/our-favorite-and-worst-outfit-of-the-week/ […]

 2. more tips here

  … [Trackback]

  […] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/our-favorite-and-worst-outfit-of-the-week/ […]

 3. https://twittervideodownloader.io

  … [Trackback]

  […] There you can find 11517 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/our-favorite-and-worst-outfit-of-the-week/ […]

Comments are closed.