Tumeingia 2019 na tumeona si mbaya tukatoa review zetu kwa yale mazuri ambayo tumeona wabunifu wetu wamefanya mwaka 2018 iwe kwa wabunifu wa magauni au suits za kiume, tumepata kujionea vizuri vingi, wengi wamejitahidi lakini kuna wale ambao walivuka mipaka na kufanya vizuri zaidi hapa tumeweka random hatuja weka kwa number
This Ombre Sequin Dress ambayo ilivaliwa na Queen Elgiver ambapo ilibuniwa na kutengenezwa na mbunifu Tuesday Jumanne, tumependa design, tumependa jinsi ambavyo ameturn hiki kitambaa ambaco kinatamba kwa sasa kuwa kivingine na ku-add value on it, we loved the lenght of the dress, its just classy & sexy.
Elisha ametupa design nyingi 2018 lakini hii ilikuwa show stopper na yeye ametumia ombre sequin fabric, we loved that amechagua gauni iwe pencil na sio nguva, tumependa design ya kifuani, simple & elegant.
Always count on mbunifu Kyamirwa to give you a statement piece for your wedding attire, tumependa hii gauni ya njano ambayo alimvalisha muigizaji Elizabeth Michael. Tumependa jinsi ambavyo ametumia shouting color lakini pia haija bore.
Mac Couture was told to make a statement dress and he didn’t disappoint Jokate, A little detail can change alot katika vazi, kama ingekuwa a one-shoulder dress bila hio feather iliyopita katikati hatudhani kama leo ingeingia kwenye list, but that details was & is everything.
kwa upande wa suit tunaona wabunifu nao wanajitahidi kutuletea vitu tofauti & classic
Tuliona hii suit kutoka kwa mbunifu Chidy Designs ambapo alimvalisha mwanamuziki Juma Jux katika Birthday party yake, well its one you can’t get tired of look at, the length & size is perfect, ikiwa tumeona sana suit ambazo zinabana chini na fupi kuona Chidy akiwa ameturusisha kwenye perfect suit again it was a relief.
Tumeona design hii ya tofauti kidogo kutoka kwa mbunifu Jm Collection ambaye yeye ameongezea urembo wa buttons katika suit zake na sisi kama Afroswagga huwa tunapenda vitu vipya Jm you gave us unique this year.
Mbunifu Lucky Creations ameanza kubuni mavazi ya kiume pia ambapo kati ya ambazo tumeziona hii suit ambayo alivaa Stylist & Designer Rio Paul ilitvutia zaid, the statement blue coat is everything and extra.
Well #afromates ni matumaini yetu mwaka huu tutaona mengi mazuri
Related posts
1 Comment
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/our-favorite-designer-dresses-suits-from-2018/ […]