SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Our Slayed or Played Report Of This Week
Mitindo

Our Slayed or Played Report Of This Week 

Tumeanza week nyingine tena ikiwa tunamalizia mwezi wa 7, well mwaka unaishia hivyo na inaonekana tunaumaliza vizuri, week hii imeisha vizuri almost kila mtu alipendeza kulingana na uwezo wake. Hizi ndizo tulizoziona tukazipenda week hii hamna alie haribu they actual surprised us

Makeup Artist Monica a.k.a monibeatsface alikuwa ana sheherekea birthday yake na moja ya vazi tuliloliona likatuvutia ni hii red dress, Gauni lime mkaa vizuri, design ya gauni ni nzuri, well fitted and sexy a true definition of lady in red.

Hamisa Mobetto looked like a snack in this mobetto styles yellow dress, ameendelea kuweka hii pony tail hair style ambayo inamuonyesha uso wake vyema kabisa na nude cage heels. Snatched

 

Millen Magese ameshehherekea birthday ya mwanae katimiza mwaka mmoja in all white party, we can’t wait to see the full picture’s, her son is so handsome

Mwamvita Makamba alipendeza na hii tutu skirt yake we love the color combination we love that statement belt & earrings, kipilipili on point

Flaviana Matata yeye alimaliza week yake na stripes two pieces suit, amemalizia muonekano wake na white sneakers, miwani na mini handbag.

Hivi ni kati ya zile nyingi ambazo tumezichagua week hii, tuambie wewe nani amekuvutia zaidi?

Related posts

4 Comments

 1. why not find out more

  … [Trackback]

  […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/our-slayed-or-played-report-of-this-week/ […]

 2. gox scooters

  … [Trackback]

  […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/our-slayed-or-played-report-of-this-week/ […]

 3. magic mushroom dispensary denver​

  … [Trackback]

  […] Read More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/our-slayed-or-played-report-of-this-week/ […]

 4. buy fryd carts online

  … [Trackback]

  […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/our-slayed-or-played-report-of-this-week/ […]

Comments are closed.