SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Omotola Jade Rocked 3 Outfits On Her  25th Anniversary
Mitindo

Omotola Jade Rocked 3 Outfits On Her 25th Anniversary 

Muigizaji kutoka Nigeria Omotola Jade na mumewe wamesheherekea miaka 25 ya ndoa yao in style, ambapo walivaa outfit tatu tofauti lakini pia haikuwa tu sherehe ya anniversary bali ilikuwa birthday ya mume wa Omotola aitwae Matthew Akeinde.

First outfit ilikuwa ni hii lace off shoulder white & nude pearly dress amemalizia muonekano wake na hereni, sleek hair do na nude makeup wakati mumewe alivaa black & white suit.

Look number mbili ilikuwa hii short dress ya kijani yenye urembo wa gold, ambapo alimalizia muonekano wake na ponytail hair do, nude makeup na accessories huku mumewe akiwa in gold and black look.

Muonekano wa mwisho ulikuwa ni hii sequin red dress alimalizia muonekano wake na ponytail hair do, red lipstick na accessories na mumewe akiwa amevalia black na nyeupe look.

Well #afromates muonekano gani umekuvutia zaidi kutoka kwao?

Related posts