Peter Paul au Rio Paul (rio the stylist) kama ambavyo ana julikana na wengi ni mvulana mdogo tu aliye zaliwa mwaka 1993, lakini ana maajabu katika upande wa ubunifu na mitindo, Rio ambae ni Celebrity fashion stylist, fashion consultant, fashion editor, personal shopper na style expert ana penda sana kuvaa over coat (makoti marefu kupita kiunoni) na ana jua kuyapangilia, wavulana hii ina wahusu na kama utapenda iga ideas kutoka kwa Rio
Hii ni Casual style
Floral Over Coat akiwa ame valia na All black outfits
Statement over coat hapa pia akiwa kavalia na nguo nyeusi tupu
Denim on Denim na over coat la cream yaani Rio ana haki ya kuitwa The Tylist
unaonaje mitoko ya Rio tupe maoni yako hapo chini
Related posts
5 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/over-coat-swagga-kutoka-kwa-rio-stylist/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/over-coat-swagga-kutoka-kwa-rio-stylist/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/over-coat-swagga-kutoka-kwa-rio-stylist/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/over-coat-swagga-kutoka-kwa-rio-stylist/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/over-coat-swagga-kutoka-kwa-rio-stylist/ […]