Paris Jackson mtoto wa marehemu Michael Jackson ambae kwa sasa ana onekana ku- shine hivi karibuni ame ingia katika uana mitindo ambapo alionekana ku-model katika kampuni ya mavazi ya channel lakini pia ame saini deal ya movie, Paris ameonekana kushangaza wengi kwa jinsi alivyo vaa wakati ana attend Tuzo na MTV Movie & Tv Awards zilizo fanyika jana may 7 huko Los Angels, California.
Paris alivaa very casual, alivaa ripped jeans, ripped t-shirt yenye picha ya former US First Lady Mitchell Obama na sneakers
Kumalizia muoenkano wake Paris amesuka mabutu mawili na alipaka simpe make up.
kwenye accessories alivaa mkufu na bangili well kwetu tulitegemea awe glam up ila hii ni too casual.
tupe maoni yako kuhusu muonekano huu wa Paris kupitia social networks zetu au email. Xoxo
Related posts
6 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/paris-jackson-too-casual-for-mtv-movie-tv-awards/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/paris-jackson-too-casual-for-mtv-movie-tv-awards/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/paris-jackson-too-casual-for-mtv-movie-tv-awards/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/paris-jackson-too-casual-for-mtv-movie-tv-awards/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 59511 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/paris-jackson-too-casual-for-mtv-movie-tv-awards/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/paris-jackson-too-casual-for-mtv-movie-tv-awards/ […]