Zikiwa zime baki siku chache kabla ya valentine kufika unaonaje ukianza kujiandaa mapema ili siku ikifika basi usipate shida ya kujua nini unavaa. Wengi tume zoea kuvaa nguo nyekundu kama ishara ya upendo lakini si lazima sana kuvaa hio rangi, leo ni Idea za nguo nyekundu siku nyingine itakuwa idea za nguo za rangi nyingine tofauti na nyekundu.
MITOKO YA KAWAIDA yaani upo tu mtaani au unaenda kunywa kahawa na mashosti basi hizi zina faa
MITOKO YA USIKU (DINNER DATE) kama ni na marafiki au mchumba hizi nazo zina faa.
Related posts
7 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/pata-idea-ya-mitoko-ya-velentine-day/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/pata-idea-ya-mitoko-ya-velentine-day/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/pata-idea-ya-mitoko-ya-velentine-day/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/pata-idea-ya-mitoko-ya-velentine-day/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/pata-idea-ya-mitoko-ya-velentine-day/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 65911 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/pata-idea-ya-mitoko-ya-velentine-day/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/pata-idea-ya-mitoko-ya-velentine-day/ […]