SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Pata Kujua Kuhusu Julitha Kabete
Mitindo

Pata Kujua Kuhusu Julitha Kabete 

Well Instgaram made it is kwa watu ku-communicate na watu wawapendao, hasa kwa wale celebrity na wafuasi wao. Wameanzisha kitu kipya ambacho unaweza kuuliza swali na kujibiwa papo hapo, Miss  Africa Tanzania ‘16 na alieenda kutuwakilisha katika  Miss World Tanzania ‘17  Julitha Kabete yeye aliamua kutokupoteza muda na kuwapa nafasi wafuasi wake kumuuliza maswali,

Moja kati ya swali ambalo tuliliona ni kuhusu yeye kuendelea kushiriki katika beauty pageants na alijibu kwamba amesha achana na beauty pageants ana plans nyingine kabisa.

Alipo ulizwa kuhusu ngozi yake alijibu kwamba ngozi yake si nzuri kama ambavyo inaonekana katika picha ( which is true picha zina rembesha sana kwa kila mtu) lakini pia ana tumia vipodozi vya asili kutunza ngozi yake

Kuhusu yeye kuamua kufanya modeling alisema sikuzote amekuwa akipenda kuwa mbele ya camera na watu wamekuwa yeye ni photogenic, ameamua kuwa model kwa muda mfupi wakati akiendelea na masomo, so may be akimaliza hatofanya kabisa? we wonder

Na hapa Julitha akitoa maelezo kuhusu skin care routine yake, kama unapenda ngozi yake ilivyo unaweza kusoma na kutumia anavyo tumia lakini kumbuka kwamba tuna ngozi tofauti inawezekana anacho tumia yeye wewe kisikupende kabisa.

Well ni matumaini yetu mmejua kidogo kuhusu Julitha na pale ambapo ulikuwa unataka kumuuliza kwa muda mrefu lakini ukashindwa amepajibu.

Related posts

3 Comments

 1. buy golden teacher mushroom online qatar

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/pata-kujua-kuhusu-julitha-kabete/ […]

 2. Exhibition stand design

  … [Trackback]

  […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/pata-kujua-kuhusu-julitha-kabete/ […]

 3. brainsclub

  … [Trackback]

  […] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/pata-kujua-kuhusu-julitha-kabete/ […]

Comments are closed.