SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Pata Kujua Kuhusu Tanzanite Womens Forum & Lunch Na Nini Cha Kuvaa
Dondoo

Pata Kujua Kuhusu Tanzanite Womens Forum & Lunch Na Nini Cha Kuvaa 

Tarehe 9 mwezi wa tatu kuna event ambayo inaitwa Tanzanite Womens Forum And Lunch, tumepata nafasi ya kufanya interview na  mbunifu Khadija Mwanamboka ambae yeye ni moja kati ya waanzilishi wa event hii ametuelezea zaidi kuhusu event hii

Afroswagga: Unaweza kutupa hint ya event inahusu nini?

Khadija Mwanamboka: Event ina forum wataongelea finance savings, self branding na femenism, lakini pia kutakuwa na Kuna fashion show

Afroswagga: Designers wangapi wata show case collection zao

Khadija Mwanamboka: Ten designers na surprise

Afroswagga: Tunaona legends kama wewe na Mustafa mta showcase collection zenu baada ya muda mrefu Is This a come back au just for The event?

Khadija Mwanamboka: “Girl I never went anywhere I will die a DESIGNER,Was just not showcasing for like seven years, but I do fashion every day got pendeza my kids collection,Thats benefits deaf blind children.

Afroswagga: Ukiachana na fashion show what else watu watapata?

Khadija Mwanamboka: kutakuwa na music kutoka kwa  new artist, Shopping bazaar na Red carpet

Well with that being said na kuelewa kuhusu event hii tumeona si mbaya tukikupa tips za nini unaweza kuvaa endapo utahudhuria katika event hii, kwanza unatakiwa kujua event iko more of semi formal event, ukishajua hilo paint kichwani watu ambao huwa wanadress classy na elegant utawapata watu kama Jacqueline Mengi, Faraja Nyarandu, Jokate Mwegelo, Lavidoz na wengine wengi, kupitia hawa unaweza kupata outfit za kuvaa siku hio.

  • Pants/Blazer

Well tailored pants na blazer ni moja kati ya mavazi ambayo unaweza kuyatumia siku hii, inaweza kuwa a full outfit kama suit ( lakini kumbuka hii ni semi formal jaribu kuiweka iwe kawaida isiwe too formal kama ambavyo unamuona sishkiki hapo chini) lakini pia unaweza kuvaa pieces separately kama crop top na pants au blazer na biker shorts etc.

  • Dress

Kama utavaa gauni chagua ambalo ni simple, achana na miburuzo au too sexy dresses chagua a simple little black dress au pencil dress unaweza kuongezea accessories kama statement necklace, earrings au kuongezea blazer kwa juu mfano mzuri ni mwadada Julitha Kabete hapo chini.

  • Jumpsuit

Jumpsuit ni moja ya vazi ambalo ni rahisi kuvaa na pia ni classy, chagua ile ambayo ina rangi nzuri tulivu, ongezea na clutch mkononi you are good to go

  • Skirts

Inaweza kuwa pencil skirt au ukachagua ku-experiment na skirt za designs nyingine, usiogope kuvaa skirt au mavazi yenye pattern katika hafla hii as we said ni semi – formal sio full formal so have fun with your outfit, ongezea accessories, show skin, bold makeup ukitegemea kutakuwa na mziki pia so vaa kitu ambacho kitakuwezesha ku-have fun.

Usisahau…..

  • Mavazi yanaweza kuwa mafupi lakini sio mafupi sana
  • attention to details, chagua accessories ambazo zitaendana na mavazi yako na event
  • Semi formal is all about the separates, gauni si lazima unaweza kujaribu skirt au suruali for a change.

 

Related posts

4 Comments

  1. scrumdiddlyumptious bar

    … [Trackback]

    […] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/pata-kujua-kuhusu-tanzanite-womens-forum-lunch-na-nini-cha-kuvaa/ […]

  2. Buy Blue Foot magic Mushroom for sale online Colorado

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/pata-kujua-kuhusu-tanzanite-womens-forum-lunch-na-nini-cha-kuvaa/ […]

  3. Buy Psychedelics Melbourne

    … [Trackback]

    […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/pata-kujua-kuhusu-tanzanite-womens-forum-lunch-na-nini-cha-kuvaa/ […]

  4. wapjig.com

    … [Trackback]

    […] There you will find 53734 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/pata-kujua-kuhusu-tanzanite-womens-forum-lunch-na-nini-cha-kuvaa/ […]

Comments are closed.