SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Pata Kujua Nani Amependeza Na Nani Ameenda Mlama Week Hii
Mitindo

Pata Kujua Nani Amependeza Na Nani Ameenda Mlama Week Hii 

Week imeisha na tunaanza mpya kesho, well tumeona mitoko ya watu maarufu mbalimbali ambayo mengine tulipata kuiongelea na mengine hatukupata nafasi hio. Basi kwa yote kwa ujumla tunakuletea hapa upate kujua mtu maarufu gani ameharibu na nani amependeza week hii.

Tuanze na Millen Magese, Millen amepost picha yake katika ukurasa wa Instagram akiwa amevalia sinderella dress kutoka kwa mbunifu  @donamatoshiofficial,  we love her dress, makeup, hair & the black dress. Ameonekana kama a black barbie doll.

Lavie Makeup akiwa amevaa pink number kutoka kwa mbunifu Kyamirwa, Ilikuwa ni wedding guest dress. She looked like a Godess. Her body is goals & Lavie needs a personal account ili awe ana tubless na hizi looks.

Nandy, Tulimoungelea yeye akiwa na stylist wake mpya. This colorful looks is our favorite, She Slayed The Week.

Tukiongelea street style, tumependa outfit ya actress Irene Paul. Amevalia yellow & Blue Pallazo akiwa amemalizia muonekano wake na blue pull neck top na gold heels. We love the outfit we have mixed feelings about the hair.

 

Kwa wanaume Petit Man killed this pink suit,

 

Week hii ambae tumemuona ame play her self ni Nisha, Not once but twice in one week, Kama ambavyo tulisema katika post yetu ya Instagram Nisha anahitaji msaada. Stylist inabidi mumsaidie huyu msanii. She just dont get it. hajui nini avae na nini wapi wala saa ngapi ana hitaji hair stylist pia, wigs anazozivaa ni za mwaka 47 sasa hivi wanavaa wachekeshaji wakiume wakiwa wanataka ku-act kama wanawake she is a messy.

Usisahau kutuambia nani kakuvutia na nani umeona mmh huyu ana walakini kupitia katika account zetu katika mitandao ya kijamii Instagram, Facebook na Twitter

Related posts

2 Comments

  1. แทงบอล betclic88

    … [Trackback]

    […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/pata-kujua-nani-amependeza-na-nani-ameenda-mlama-week-hii/ […]

  2. baby liberty cap mushrooms

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/pata-kujua-nani-amependeza-na-nani-ameenda-mlama-week-hii/ […]

Comments are closed.