SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Mitindo

Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi 

Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer  Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na  hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake.

AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza elezea passion for Fashion hasa styling ilianzia wapi?

VAAZI: Kwakweli So far so good, Passion for Fashion /Styling nikipaji changu toka utotoni, Nilipata uthubutu wa Kuanza rasmi  baada ya kujitolea maranyingi backstage za fashion shows hususani Swahili Fashion Week na kupata Certificate. Ndipo the Stylist Industy ilinipa support kubwa sana mpaka nilipo fikia sasa .

@vaazi_stylist & @primusevarist Summer collection photographer @stellaoguma

AFRO: Ukilinganisha hapo awali na sasa wasanii wa kazi sanaa, siku hizi huweza kutumia stylists katika kazi zao. Mwamko ukoje na wanawatumia ipasavyo?

VAAZI: : Mwamko ni mkubwa kwa sasa ukilinganisha na zamani, wasanii wameona umuhimu wa Styling katika Sanaa zao. Kiujumla Wasanii wanajitahidi kwa asilimia kadhaa kutumia ma Stylist kupendezesha kazi zao.

AFRO: Hii ni collection yako ya ngapi? Waweza tutajia JINA na inspiration behind it maana fabric choices ni za kipekee

VAAZI: Hii ni Collection yangu ya kwanza, kiukweli I was inspired by the Tanzanian Fashion Festival theme (Summer) and I believe that Life is colorful.

@vaazi_stylist & @primusevarist Summer collection photographer @stellaoguma

AFRO: Miaka 5 mbeleni, wajiona ukiwa wapi kama stylist pia mbunifu wa mavazi?

VAAZI: : Naamini kazi zangu zitajulikana kimataifa zaidi.. 

AFRO: Designers wanaokuinspire/kuvutia hapa nchini na nje ya nchi?

VAAZI: Designers wa ndani ya nchi ni Lucky Creations na Doreen Mashika  Na wa nje ya nchi ni Richie Mnisi,South Africa na Oliver Rousteing, Balmain

@vaazi_stylist & @primusevarist Summer collection photographer @stellaoguma

AFRO: Stylists wanaokuinspire/kuvutia hapa nchini na nje ya nchi?

VAAZI: Stylists ni -Rio Paul, Noel Ndale  na Macrida Joseph. Nje ya nchi ni Sammy Ratelle (Billy Porter’s stylist), Denola Grey from Nigeria, Marmen Lilly (Rihanna’s stylist), Laury Smith (Lady Gaga’s stylist)

AFRO: Ni msanii wa kazi za sanaa gani ungependa kufanya naye kazi?

VAAZI:  Mafikizolo na Sauti Solo

@vaazi_stylist & @primusevarist Summer collection photographer @stellaoguma

AFRO: Ushauri gani wampa kijana nyumbani mwenye mapenzi na fashion lakini amejawa uwoga na ari ya kutokuthubutu pia hajui pakuanzia?

VAAZI: Awe na uthubutu na ujasiri wa kufanya anacho kiamini, vilevile asiogope kujifunza kutoka kwa watu  mbalimbali au wakongwe katika sanaa ya ubunifu na mitindo.

Interview imefanywa na kuandikwa na @willibard_jr

Related posts

4 Comments

 1. Price of Blue Foot magic Mushroom online

  … [Trackback]

  […] There you will find 28798 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/pata-kumjua-stylist-na-mbunifu-vaazihusiyo-yajua-kuhusu-vaazi/ […]

 2. buy psychedelic mushrooms online

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/pata-kumjua-stylist-na-mbunifu-vaazihusiyo-yajua-kuhusu-vaazi/ […]

 3. roof skylight

  … [Trackback]

  […] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/pata-kumjua-stylist-na-mbunifu-vaazihusiyo-yajua-kuhusu-vaazi/ […]

 4. brainsclub

  … [Trackback]

  […] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/pata-kumjua-stylist-na-mbunifu-vaazihusiyo-yajua-kuhusu-vaazi/ […]

Comments are closed.