SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Pata Kumjua Stylist Rosemary Kokuhilwa
Mitindo

Pata Kumjua Stylist Rosemary Kokuhilwa 

Rosemary Kokuhilwa ambae kwa sasa ana yake yapo jijini New York ni moja kati ya stylist wakubwa kutoka Tanzania, Rosemary si tu stylist bali alishawahi kuwa fashion blogger wa fashionjunkii.com, Co – Funder wa Global Fashion Newyork, pia alishawahi kuwa model lakini pia ni makeup artist, Rosemary ni moja ya wanawake ambao tunaweza kusema they can do it all.

Kuhusu Rosemary alizaliwa Bukoba, na kulelewa na kukulia Dar Es Salaam baada ya shule akaanza kuwa mwanamitindo akiwa chini ya faces international, modeling agency  ya kwanza kabisa Nchini Tanzania.

Leo tunamuongelea kama stylist ambae alisha vizuri miaka ya 2000, Rosemary kama angekuwepo Nchini basi angetufikisha mbali sana ni moja ya wadada ambao wanajituma kufikisha kazi zao mbali, amesha wahi kufanya kazi na world-renowned photographer wa Miss Universe Fadil Berisha and also as the key stylist for Boston Fashion Expose when the first Global Fashion New York Inc fashion show was produced.

Imekuwa kawaida kwa Rosemary ku-participate katika  New York Fashion Week na Paris Fashion Week hapa ndipo unapojua she doesn’t joke linapokuja katika swala la fashion.

Mwaka 2013 Rosemary alipata nafasi ya kumstyle model wa kimataifa wa nchini Sudan Kusini, Alek Wek ambaye ameonekana kwenye cover la kwanza la jarida la Forbes Life Africa.

Mwaka 2015 Rosemary alipata nafasi nyingine kubwa ya kum-style mwanamitindo Flaviana Matata katika jarida la New African Woman

lakini si tu Flaviana bali na muigizaji mkubwa Duniani Thandie Newton

Mwaka huu tumeona kazi ya Rosemary katika Cover ya gazeti la Genevive Magazine akiwa amem-style mwanamitindo Happiness Magese

Ambacho tunaweza kusema Rosemary has done & still doing great work as a stylist, kwa upcoming stylist you should real take notes from her wakati mwingine sio tu kuwa na jina lakini nini unafanya na wapi unafika kupitia jina lako,

 

 

Related posts

5 Comments

  1. i loved this

    … [Trackback]

    […] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/pata-kumjua-stylist-rosemary-kokuhilwa/ […]

  2. buy golden teacher mushroom online online

    … [Trackback]

    […] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/pata-kumjua-stylist-rosemary-kokuhilwa/ […]

  3. weed delivery Toronto

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/pata-kumjua-stylist-rosemary-kokuhilwa/ […]

  4. african transkei magic mushrooms​

    … [Trackback]

    […] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/pata-kumjua-stylist-rosemary-kokuhilwa/ […]

  5. สล็อตเว็บตรง

    … [Trackback]

    […] There you will find 99097 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/pata-kumjua-stylist-rosemary-kokuhilwa/ […]

Comments are closed.