What can we say? African men are coming through hard linapokuja swala la fashion na week hii tumewaona watu maarufu kama Mbosso, Pantoranking na Ebuka wakiwa wamevalia full look za rangi ya mint na tumependa tunachokiona like okay brothers shine on us.
Panto yeye alivaa this look in full suit, white sneakers akamalizia na jewelry na miwani

Ebuka yeye alikuwa in two pieces, tassel animal print loafers akamalizia na jewelries ndogondogo

Mbosso alivaa two pieces pia ambazo zilikuwa na attached belt akamalizia na sneakers nyeupe, jewelries na miwani

Well Afromates nani amependeza zaidi kwenye hii look kati ya hawa watatu
Related posts
5 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/patoranking-ebuka-and-mbosso-serving-in-monochrome-mint-looks/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/patoranking-ebuka-and-mbosso-serving-in-monochrome-mint-looks/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/patoranking-ebuka-and-mbosso-serving-in-monochrome-mint-looks/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/patoranking-ebuka-and-mbosso-serving-in-monochrome-mint-looks/ […]
… [Trackback]
[…] There you will find 7176 additional Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/patoranking-ebuka-and-mbosso-serving-in-monochrome-mint-looks/ […]