SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Peach Perfect
Mitindo

Peach Perfect 

Hello Afromates its a been a minute lakini tumerudi na mjiandae na vitu vipya na vizuri, leo tumeona tuwaletee rangi inayotamba kwa sasa. Pantone walitaja rangi ya Living Colar akuwa rangi ya mwaka 2019 hii ni peach shade ya pink ni kama rangi ya carrot hivi na tumeona designer wakiwa wamesha anza kuitumia katika kazi zao.

Peach kwa sasa ndio rangi inayotamba mitandaoni watu maarufu mbalimbali wameonekana kuvalia rangi hii hasa katika vazi la suit, well its a very calm color ambayo inaweza kuingiliana na rangi nyingine nyingi.

Tumemuona Stylist Noel Ndale akiwa amevalia suit hii ya rangi ya peach akiwa amevalia na round tee ndani ya rangi ya green na viatu vyeusi, love this look on him so classic.

Mwanamuziki Nandy nae ameonekana akiwa kwenye suit ya rangi hii kutoka kwa mbunifu Chidy Designs,tumependa jinsi alivyoonekana tofauti tumeshamzoea Nandy akiwa kwenye outfit za casual kumuona in business look ni kitu kipya.

Mwanamuziki Cyrill nae hakutaka kupitwa tumemuona akiwa amehudhuria harusi na suit ya rangi ya peach pia and we love his look.

well know you know nini kina trend kwa sasa katika upande wa rangi.

Related posts

1 Comment

  1. blog link

    … [Trackback]

    […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/peach-perfect/ […]

Comments are closed.