SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Peek A Boo Denim Affairs
Mitindo

Peek A Boo Denim Affairs 

Hizi jeans zimeonekana kupendwa kwa muda sasa, mwishoni mwa mwaka jana tuliona influencers mbalimbali Nchi za wenzetu wakiwa wanazivalia lakini kwa sasa imeonekana kufika Tanzania na watu maarufu na fashionista’s mbalimbali kuvutiwa nazo.

Ni suruali ambazo kwa nyuma kama zinauwazi, zinaonyesha kama yaliyomo yamo. Hizi zinafaa kuvaliwa sehemu ambazo hazina vurugu kwa maana ukiingia nazo kama Kariakoo be sure utafute body guards au police wa kukulinda kabla ya Wahuni hawajakuvamia.

Well let us know where would you rock these jeans?

Related posts

3 Comments

  1. ฝาก ถอนเงิน สล็อตวอเลท ไม่มีขั้นต่ำ

    … [Trackback]

    […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/peek-a-boo-denim-affairs/ […]

  2. NKSFB

    … [Trackback]

    […] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/peek-a-boo-denim-affairs/ […]

  3. 뉴토끼

    … [Trackback]

    […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/peek-a-boo-denim-affairs/ […]

Comments are closed.