Aliye wahi kuwa Miss Tanzania Bi Jacqueline Ntayabaliwe na sasa ame ongeza jina la tatu Mengi au mama twins ame sheherekea ufunguzi wa nyumba yao mpya (yeye na familia yake) in a stylish way.
Jacqueline alivalia Aqua blue Cinderella off shoulder dress
tumependa off shouder zake na gauni lilivyo maliziwa chini, what a stylish way to cerebrate a new home
bold lipstick, statement hearings, saa na grey nails na eye shadows ndio ulikua urembo wake wa siku hii, tume penda uchaguzi wa rangi wa make up artist ime noga na rangi ya gauni
Jacqueline hakutaka kumaliza siku hivihivi alimalizia na picha akiwa kwenye bath tub and we have to say WOW, Bado haja poteza swerving zake za umiss na umodel
tupe maoni yako kupitia
Instagram – afroswagga
Facebook – afroswaggatz
Twitter – afroswaggamag
Related posts
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…