SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

peek of the day-One Shoulder Top x High Waist Pants by Style Pantry
Mitindo

peek of the day-One Shoulder Top x High Waist Pants by Style Pantry 

Style By Pantry ni moja kati ya ma fashionista pendwa kwetu, ana jua kujipangilia nguo, rangi na she is body goals. Ukimuona huwezi kuamini ana miaka arobaini naa na pia ana watoto watatu. Tunasema kwamba na mtoko huu tuna hisi ndio ameuanza mwaka

tume penda jisni alivyo pangilia rangi, the red one shoulder top,

Na High Waist Bwanga trouser ame malizia muonekano wake na boldred lipstick, hereni, bangili na red clutchΒ 

Tumependa outfit yake una weza kuvaa katika Dinner Date, Date na marafiki lakini pia una weza kuvaa on valentines day

Related posts

Leave a Reply