SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

PENDEKEZA MSHIRIKI SWAHILI FASHION WEEK.
Afro Fashion

PENDEKEZA MSHIRIKI SWAHILI FASHION WEEK. 

Lile tamasha kubwa la Fashion Afrika Mashariki Swahili Fashion Week (SFW). Likiwa limebakiza siku 27 tu ili kufanyika, leo mchana wametoa nafasi kwa Watanzania na Wanafrika Mashariki kwa ujumka kupendekeza washiriki katika vipengele mbalimbali vya Tamasha hilo ambalo mwisho litatoa washindi wa mwaka huu wa 2015.

vifuatavyo ni vipengele na namna ya kupende mhusika unayehisi anastahili kushiriki katika tamasha hili.

nomineesUnaweza kumpendekeza mtu umpendaye kwa kufanya yafuatayo:

1. Nenda kwenye uwanja wa ujumbe mfupi wa maneno (SMS) kwenye simu yako.

2.  Andika Code ya Kipengele

3. Andika jina la mhusika.

4. Tuma kwenda namba +255 0763 668 282.

Mfano: Kuipendekeza afroswagga.com kushiriki katika kipengele cha Blog bora ya fashion kwa mwaka 2015, Nenda kwenye uwanja wa Message kisha andika maneno >>SFW BLOG AFROSWAGGA.COM<< kisha tuma kwenda hiyo namba hapo juu.

Lakini pia unaweza kupendekeza kupitia barua pepe (E-mail) kwa kufata mlolongo wa hapo juu na kusha kutuma kwenda awards@swahilifashionweek.com.

Unaweza kupata taarifa zaidi kuhusu Swahili Fashion Week kupitia Tovuti yao ya www.swahilifashionweek.com

Related posts

3 Comments

  1. Going Here

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/pendekeza-mshiriki-swahili-fashion-week/ […]

  2. Mamba OG 3.5g Flower

    … [Trackback]

    […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/pendekeza-mshiriki-swahili-fashion-week/ […]

  3. ufabet911

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/pendekeza-mshiriki-swahili-fashion-week/ […]

Leave a Reply