SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

PERFECT COLOR COMBO KUTOKA KWA JOKATE
I'm A Celebrity

PERFECT COLOR COMBO KUTOKA KWA JOKATE 

Kama Ingekua ni mimi unge niambia nivae light blue (ocean blue) na pimk nisinge kubali, kwa sababu sijawahi kufikiria kama rangi hizi zina weza kuvaliwa na zika pendeza kama Jokate alivyo pendeza. Jokate tunajua ni mtu wa kujaribu na ana fanya kile anacho jisikia. tume penda jinsi alivyo upangilia huu muonekano na kutushawishi kwamba blue na pink ina wezekana.

13739609_943067239148650_1425986297_n

 

Jojo amevaa pink trumpet dress ambayo ni juu kidogo ya magoti na lights blue heels13745077_1722389498022528_238716864_n

ame complete muonekano wake kwa simple make up, short hair na accessories

 

Related posts

1 Comment

  1. Buy Psychedelics Brisbane

    … [Trackback]

    […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/perfect-color-combo-kutoka-kwa-jokate/ […]

Leave a Reply