Anaitwa Philomena Thadey wengi tunamjua kama Qute_Mena ni mke wa MC wa Taifa, Mc Pilipili. Pilipili na Mena walioana mwaka jana, na wamepata mtoto wao wa kwanza hivi karibuni.
Katika photoshoot ya ujauzito wake Mena alichagua kuvaa hii emerald green mermaid dress, na tunaweza kusema tumependa hii photoshoot, sometimes all you need is a nice dress and a good makeup.
She looked decent and slayed her photo shoot from head to toe, makeup ilikuwa nzuri, gauni lilimkaa vyema. Hongera kwa Mc Pilipili Na Mena.
Photographer. @ashy_images
MUA by 💄@topfairys_makeup
Flowers by🎄 @janeflowerstz
Related posts
2 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/philomena-thadey-in-emerald-green-dress-for-her-maternity-photoshoot/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 17402 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/philomena-thadey-in-emerald-green-dress-for-her-maternity-photoshoot/ […]