Alianza kama muigizaji katika tamthilia ya shug huko Kenya bahati ilikua kwake aka shirikishwa katika movie ya 12 YEARS OF SLAVE, hii ilimpatia umaarufu mkubwa na tuzo mbalimbali. Lupita ukiachana tu na kua muigizaji pia ni fashion icon na hizi ni picha zilizopo katika gazeti la the guardian la mwezi huu za lupita

lupita-nyongo-by-erik-madigan-heck-for-the-guardian lupita-nyongo-by-erik-madigan-heck-for-the-guardian-1 lupita-nyongo-by-erik-madigan-heck-for-the-guardian-2-700x420