Michelle Campbell Mason ni mbunifu wa vito kutoka marekani ambae hivi karibuni amefunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu bwana.Zach Vella huko Ashford katika ngome ya bwana huyo.
baadhi ya vito alivyo tengeneza Michelle
campbell_jewelry_bracelets

campbell_jewelry_spring_2014_8
na hizi ndizo picha za harusi yao, mie hilo gauni tu la bibi harusi wow

[URIS id=1982]