Pipi na Nakaaya wote ni wasanii wa muziki wa kizazi kipya, ambao pia wote sasa wamebarikiwa kuanzisha familia zao, kwa maana ya kuwa na mtoto/watoto.
Hii ni recent picture ya pipi akiwa ame jiachi na una weza kuona muonekano wake ki mavazi si mzuri sana,Ninaposema Pipi afuate nyayo za Nakaaya nina maana kuna haja ya Pipi kuamka na kuanza kufanya jitihada za kurudisha muonekano wake wa awali. Ni ukweli kwasasa hana kabisa muonekano wa kimuziki.
Nakaaya baada ya kuwa na mtoto ni wazi alipoteza muonekano wake ambao alikuwa nao mwazo. Lakini hakuchukua muda kurudisha muonekano wake maana hakuwa akipendeza katika mavazi.
Huyu ndio Nakaaya kwa sasa she is putting it in formation and we like it,
Related posts
3 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/pipi-fuata-nyayo-za-nakaaya/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/pipi-fuata-nyayo-za-nakaaya/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/pipi-fuata-nyayo-za-nakaaya/ […]