SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Platform Heels Are Having A Moment
Mitindo

Platform Heels Are Having A Moment 

Mnakumbuka layzon vile viatu vina sole kubwaa walikua wanavaa zamani? Well zimerudi kwenye trend lakini this time zikiwa modified vizuri na kuweza kuvalika kisasa.
Tunachopendea hii trend ni kwamba ata ambae hawezi kuvaa viatu virefu anaweza kuvaa hivi viatu maana sole yake ni pana inakuwezesha kutembea comfortable.Tumeona fashionistas na watu maarufu mbalimbali kutoka Nchini Kwetu wakiwa wamevalia viatu hivi akiwepo Irene Uwoya, ms.chicca_bwase, Paulah Kajala na Maua Sama ikiwa kila mmoja ame style viatu hivi kwa namna yake.

Tunapenda kuona watu maarufu waki-keep up na fashion na style zinazo trend huko Duniani kwasasa, let us know yupi amekuvutia zaidi na mtoko wake akiwa amevalia viatu hivi.

Related posts