SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

PLUS -FABULOUS
Dondoo

PLUS -FABULOUS 

Ana jiita @original_mangu kwenye mitandao ya kijamii, ni plus size woman ambae ana penda mitindo pia ana uza nguo, she is our plus Fabulous. Mangu yeye ana break all the boundaries linapo kuja swala la yeye kuvaa na kupendeza ina julikana kuwa plus size na kupata mitindo inayo kufaa kidogo huwa mtihani, kwa kuliona hilo na yeye ni mmoja wa muhanga lakini pia ni mpenzi wa fashion ana kuonyesha namna ya kujistyle lakini pia ana fanya biashara ya nguo

The clack little dresses

Kuna plus size rule ina sema usivae nyeupe, ina wezekana lakini how about mixing it na rangi nyingine? Wow Mangu does it all

Kuna Rule ina sema usiende na trend kama wewe ni plus size but you can kama ina float in your boat, Mangu in off shoulder trend  is everything, hii ni design yake katengeneza na anauza and we must say we are impressed

Kuna rule pia ina sema kama wewe ni plus size epuka sana shouting colors zina kufanya uonekane mkubwa zaidi, lakini kwa sasa tuna sema hukana rules linapo kuja swala la rangi if you like it wear it ili mradi iwe inaendana na mwili wako kama Mangu anavyo fanya

Nu matumaini yetu umejifunza jambo, wasiliana nasi kupitia

Instagram – afroswagga

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz

Related posts

2 Comments

  1. wapjig.com

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/plus-fabulous/ […]

  2. 토렌트 다운

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/plus-fabulous/ […]

Leave a Reply